Changamoto za Tanzania ambazo hazitakuja kutatuliwa kamwe

Hivi vyote ni mtaji wa CCM.
Wakivimaliza watawadanganya nini Wadanganyika?
Tukisolve hayo matatizo tunapaswa kuanza kukuza teknolojia, bado vitu vya kuahidi haviishi
Ni basi tu aidha CCM hawataki Tanzania iendelee au hawana IQ kubwa kusolve matatizo hayo
 
Matundu ya vyoo mashuleni
Hivi kwann wanaita matundu ya vyoo 🤷 anyways 🍻
 
Tukisolve hayo matatizo tunapaswa kuanza kukuza teknolojia, bado vitu vya kuahidi haviishi
Ni basi tu aidha CCM hawataki Tanzania iendelee au hawana IQ kubwa kusolve matatizo hayo
Sio tu hawana IQ ya kusolve hayo matatizo, hata hayo matatizo yenyewe hawayaoni kama ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…