Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Kuna muda najifariji hivyo ila nikiwaza analala na mwanamke mwingine wakati mimi hata bwana wa kuzugia nashindwa kuwa nae inanichoma kama pasi
Kikubwa usimpe mtu moyo wako wote aisee. Wanaume ni waongo sana ukishanogewa ndo unajua ukweli. Kikubwa ukiwa na mahusiano jijengee mko wengi Pata raha yako chapa lapa as long as ni nguvu zake hata akiwa na kumi atajiju yeye
 
Huyu jamani nilimuuliza kama mara tatu anakana kabisa kabisa hana mwanamke. Siku nikamkazia nikamwambia najua una mwanamke na unaishi nae. Yani sijui nini kilikua kinaniaminisha huyu kaka ana mwanamke. Akasema ni kweli ila nilikua naogopa kukwambia sababu ungenikataa na mimi nakupenda. Aliniumiza sana. Bora angekua mkweli toka mwanzoni nisingeingia kwenye mahusiano yake.
Ohoooooo!! Ndo yule ulisema wa jf? Pole sana mwaya.

Huwa sielewi kabisa hii ya kudanganya, tena wengine unakuta ameoa kabisa na anakana hajaoa.
 
Kuna muda najifariji hivyo ila nikiwaza analala na mwanamke mwingine wakati mimi hata bwana wa kuzugia nashindwa kuwa nae inanichoma kama pasi
Mwenza pole yaani na t*ko hilo bado jitu linakutenda...lakini ilikuwaje na wewe hadi ukazama kwa mtu anaishi kabisa na mwanamke ndani na usigundue?
 
Hebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,

Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]

Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
ha...haaaa....haaa.... dogo UKE wenza hauepukiki kwa kuwa mwanaume anaweza kutembea na mwanamke mwingine lakini asiwe mke labda MKE mwenza hilo linawezekana.
lakini bado mdogo ukikua utajua na utajifunza kuvumilia na kukubaliana kwa kuwa vigezo vya kuoana au vya kupendana sasa havitakuwa vigezo vya kuendelea kuishi katika maisha yenu ya siku za baadaye. ukimuuliza babu yako anaweza kukwambia bibi yako alikuwa na meno mazuri yamepangia, jicho nusu mwezi, mwenye shingo ya upanga miguu ya bia anacheka kicheko cha foleni sasa jaribu kuangalia kama hivyo vitu bado bibi yako anavyo lakini bado wanaishi.
 
Hebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,

Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]

Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
Kwa wewe ulivyo kweli hutaweza. Wenzako wavivu sana especially wakishapata watoto. Mara ohooo!! Siko kwenye mood, mara ohoo sijisikii vizuri, mara nimechoka acha nilale, mara ohoo!! Kila siku imekuwa chakula? Visingizio kila siku na mwanaume kila siku anatengeneza 25million na anatakiwa 21 per month wewe unampa 1 kwa week mara nne kwa mwezi. Ni wazi atazipunguzia nje na mwisho atanogewa na kuoa. Wengine alikuja anajua kuoga na kujipiga utuli lakini akishaolewa usafi unamshinda na kupunguza hamu kwa mme wake.
 
Mume wa mtu hakunaga mapenzi kunakua na kitu mtu anafaidika nacho. Yani siwezi kumpenda mtu nikishajua ana mtu mwingine
Pole kwa yalokukuta,wengi tuu imeshawatokea hii,u will get past this..
By the way Kuna uafadhali gani kumdate mme wa mtu zaidi ya bf?
Maana me naona bora bf coz majeshi yanaeza kuhamishwa mda wowote kuliko mme wa mtu,anakua ndo keshafungwa kwa mkewe na ndoa..
 
Back
Top Bottom