Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Na hivi wanaume wenye mke mmoja wanawezaje?
Yaani nataka mambo eti mtu aniambie sijui niko kwenye siku zangu wakati ni zake sio zetu?
Mimi nataka kila siku kwahiyo kama mtu anajijua ana siku zake na sio zetu basi akiwa kwenye hizo siku zake atalala mwenyewe na mimi nitakua naenda wapi.
Kama nyinyi hamuupendi uke wenza wa hadharani ila wa gizani upo mpaka dunia inaisha.
Wanawake mtafanikiwa kuzuia hilo pale mtakapofanikiwa kuingia maabara na kutengeneza wanaume wenu wa maabara ila sisi wa Mungu acheni kujidanganya sisi tumeshapigwa sindano na aliyetuumba .
Hahaha! Ukioa mtihani unakuja mwanamke akizaa,au akiwa siku zake lazima uchepuke maana ushazoea unapiga Kila siku,ndo maana mudy aliruhusu wake wanne,Kuna member mmoja humu anaitwa Pablo yeye alisema tunambeza Mohammed lakini alikuwa sahihi kuruhusu wake wengi
 
Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.

Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Shogaangu bora wewe ni girlfriend mie niligundua ana mke na watoto tena hapo tumeshafika mbali tunaanza na kutaka kutambulishana.
Yasikie tu kwa mwingine yasikukute kwakweli.
 
Na huwezi kuzifikia kamwe aisee. Ni sawa na upendo wa mama kwa mtoto
Upendo wa mama kwa mtoto hakika hauna mfano humu Duniani basi nimenyoosha Kichwa na miguu yote juu kuashiria nimekosa hoja nyingine
 
Ukewenza wauma aikuambie mtu sikilizia kwa mwenzioo..siku akienda kw mwenzako unawaza masarakasi anayokupaga anaenda pewa mwenzako..
Pia huwezi kataa kama mme kaamua kuoa kashaamua heri anayeoa kabisa mwajuana kuliko wale wengine wanajidai masaints kumbe ni wachafu balaaaa...
Akitaka oa kwa mie simkatazi bali nipate huduma zangu kma mwanzo zisipungue kwani mtu anayeoa mke mwingine means anajiamin kuwa ana uwezo wa kutunza wake zake wote..
Siwezi kukubali mwenxangu naona ananawili then.mie huku kwangu huduma naona hafifu na tuheshimiane basi mambo yataenda sawaaaa...
NB:: tusiseme.kuwa hatuwezi vumilia bali mme akiamua kukuolea mwenzako huwexi mzuiaaa hataaaa.
By kungwi mtoto.
Kungwi mtoto kwa nini usijitegemee mpaka umtegemee mwanaume kifedha
 
Dah, nakumbuka siku naambiwa nifike ukweni...! Ndugu walishapanga nikajitambulishe, then time ndio nirudi kuzungumza mahari..!

Asbh yake kaka zake wananipigia simu, haloo Bwana Shemeji, njoo tuzungumze kwanza......NIKAJUA HAPA KUNA KITU, wakaniambia, tumeona kwa vile wewe ni mtu wa kuhangaika, leo maliza kila kitu. Hivyo ongesa kreti 10 za bia, soda 2, na nyama kidogo na mbege......

Nikazama ATM fasta, nikachomoa hela, nikanunua kila kitu nilichoambiwa..! Yaani nliua Ndege wa3 kwa jiwe moja.

Nakachukua mke jumla, tupo town naishi raha mustarahe...

Sijawahi tena rudi ukweni mpaka leo, coz nilishamalizana nao.
Unachanganya mafaili sasa
 
Mwanaume mwenye uwezo na akawa na mke mmoja ni kukosa uadilifu.

Kilichotekea kwa Adam ndicho anachokitaka mleta mada ili amgande, ampelekeshe na kumpoteza mumewe kama alivyofanywa Adam.

Adam angekuwa na wake wengi ile siku angekuwa kwa mke mwengine yule bibi asingempotosha.

Hadi hv Leo tungekuwa peponi tunakula bata.
Hahaha!!! We jamaa, kifungu gani hicho
 
Umeona upendo nilio Kuwa naumaanisha ndo huo sasa. Hii ya upendo wa nje nikusogeza siku ziende ukiwa na true love lazima uumie only few wanaopendana na kuvumilia na Wana enjoy. Ila huku bongoland mtu Ana partners kumi hyo true love itapatikana wapi?
Upendo wa mama kwa mtoto hakika hauna mfano humu Duniani basi nimenyoosha Kichwa na miguu yote juu kuashiria nimekosa hoja nyingine
 
I know my daddy very well. Aisee lakini upendo wake kwangu hauna mfano ataumia nikiumia tofauti na mwanaume mliyekutana utu uzima, yeye atajifanya anakupenda wakati akiwa na nyege. Akuoendaye hawezi kumuumiza, ku kudaganya kamwe tofauti na mzazi. To me true love ni ya wazazi tu the rest ni shida
Hata daddy wako anachepuka,Hilo I can guarantee,ingawa simjui
 
Kitendo cha mwanadamu kumfananisha mwanadamu mwenzie na malaika wakati wanafanya ngono pamoja ni ukosefu wa akili. Angekuwa malaika angekuoa kwanza ndio akuvue chupi.
 
Inshaalaah soon
Kama ndoa ni soon umeyajuaje ya kuwa na bwana muda wote na kumpa kila akitaka au wewe kupata kila ukitaka. Wenye experience ndio wana uwezo mzuri kujua ndoa inachosha au kukinaisha au ndoa siku zote ni honey moon
 
Unamwanaume mvivu halo

Mimi nakitaga mpaka wiki haombi na huwa anatamani niondoke KBS maana Mimi ukinikumbatia umepigwa pini ukinigusa jamaa kasha zimka


Sijawahi pata mwanamke anayetaka mambo muda wote nadhani ningestarehe sana
 
Back
Top Bottom