Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Hata daddy wako anachepuka,Hilo I can guarantee,ingawa simjuiHamna wanaume wa kweli aisee labda my daddy tu, the rest ni monster walah. Hawa exist kwenye hii sayari
Hahaha! Ukioa mtihani unakuja mwanamke akizaa,au akiwa siku zake lazima uchepuke maana ushazoea unapiga Kila siku,ndo maana mudy aliruhusu wake wanne,Kuna member mmoja humu anaitwa Pablo yeye alisema tunambeza Mohammed lakini alikuwa sahihi kuruhusu wake wengiNa hivi wanaume wenye mke mmoja wanawezaje?
Yaani nataka mambo eti mtu aniambie sijui niko kwenye siku zangu wakati ni zake sio zetu?
Mimi nataka kila siku kwahiyo kama mtu anajijua ana siku zake na sio zetu basi akiwa kwenye hizo siku zake atalala mwenyewe na mimi nitakua naenda wapi.
Kama nyinyi hamuupendi uke wenza wa hadharani ila wa gizani upo mpaka dunia inaisha.
Wanawake mtafanikiwa kuzuia hilo pale mtakapofanikiwa kuingia maabara na kutengeneza wanaume wenu wa maabara ila sisi wa Mungu acheni kujidanganya sisi tumeshapigwa sindano na aliyetuumba .
Shogaangu bora wewe ni girlfriend mie niligundua ana mke na watoto tena hapo tumeshafika mbali tunaanza na kutaka kutambulishana.Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Mwajuma unayapinga mafundisho ya mudy,au sio muislamu wewe?Akiwa kwa mke mwenza na mi niko high na mme mwenza wake.
Wewe na mumeo waislamu?Yaani nilidumu na mtu six years jamani akaanza niletea habari za uke wenza looh sikuweza kwakweli nikaona nimpishe tu bimdogo nikae kando Nina moyo mdogo kwakweli
Upendo wa mama kwa mtoto hakika hauna mfano humu Duniani basi nimenyoosha Kichwa na miguu yote juu kuashiria nimekosa hoja nyingineNa huwezi kuzifikia kamwe aisee. Ni sawa na upendo wa mama kwa mtoto
Sharing is caring hahahaAnanipenda pia ila sharing is killing mpenzi. Namtaka awe wangu mwenyewe sitaki kushare
Kungwi mtoto kwa nini usijitegemee mpaka umtegemee mwanaume kifedhaUkewenza wauma aikuambie mtu sikilizia kwa mwenzioo..siku akienda kw mwenzako unawaza masarakasi anayokupaga anaenda pewa mwenzako..
Pia huwezi kataa kama mme kaamua kuoa kashaamua heri anayeoa kabisa mwajuana kuliko wale wengine wanajidai masaints kumbe ni wachafu balaaaa...
Akitaka oa kwa mie simkatazi bali nipate huduma zangu kma mwanzo zisipungue kwani mtu anayeoa mke mwingine means anajiamin kuwa ana uwezo wa kutunza wake zake wote..
Siwezi kukubali mwenxangu naona ananawili then.mie huku kwangu huduma naona hafifu na tuheshimiane basi mambo yataenda sawaaaa...
NB:: tusiseme.kuwa hatuwezi vumilia bali mme akiamua kukuolea mwenzako huwexi mzuiaaa hataaaa.
By kungwi mtoto.
Unachanganya mafaili sasaDah, nakumbuka siku naambiwa nifike ukweni...! Ndugu walishapanga nikajitambulishe, then time ndio nirudi kuzungumza mahari..!
Asbh yake kaka zake wananipigia simu, haloo Bwana Shemeji, njoo tuzungumze kwanza......NIKAJUA HAPA KUNA KITU, wakaniambia, tumeona kwa vile wewe ni mtu wa kuhangaika, leo maliza kila kitu. Hivyo ongesa kreti 10 za bia, soda 2, na nyama kidogo na mbege......
Nikazama ATM fasta, nikachomoa hela, nikanunua kila kitu nilichoambiwa..! Yaani nliua Ndege wa3 kwa jiwe moja.
Nakachukua mke jumla, tupo town naishi raha mustarahe...
Sijawahi tena rudi ukweni mpaka leo, coz nilishamalizana nao.
Hahaha!!! We jamaa, kifungu gani hichoMwanaume mwenye uwezo na akawa na mke mmoja ni kukosa uadilifu.
Kilichotekea kwa Adam ndicho anachokitaka mleta mada ili amgande, ampelekeshe na kumpoteza mumewe kama alivyofanywa Adam.
Adam angekuwa na wake wengi ile siku angekuwa kwa mke mwengine yule bibi asingempotosha.
Hadi hv Leo tungekuwa peponi tunakula bata.
Ungekua mke mwenza tuShogaangu bora wewe ni girlfriend mie niligundua ana mke na watoto tena hapo tumeshafika mbali tunaanza na kutaka kutambulishana.
Yasikie tu kwa mwingine yasikukute kwakweli.
Upendo wa mama kwa mtoto hakika hauna mfano humu Duniani basi nimenyoosha Kichwa na miguu yote juu kuashiria nimekosa hoja nyingine
Hapa mashehe utawasikia tu "Mashallah".Kuna mwanamke alimtafutia mme wake mke wa pili(yaani alijitafutia mke mwenza) na alikuwa pini zaidi yake, pia akampa mme wake pesa ili akatoe mahari. Ni mindset ya mtu tu.
Hata daddy wako anachepuka,Hilo I can guarantee,ingawa simjui
😛😛 hayo maneno sio mawe ya gizaniKitendo cha mwanadamu kumfananisha mwanadamu mwenzie na malaika wakati wanafanya ngono pamoja ni ukosefu wa akili. Angekuwa malaika angekuoa kwanza ndio akuvue chupi.
Kila mtu ana lake asiloliweza kwenye dini kuwa mkweli. Mi ukienda kupunguza machungu naoiga mambo otherwise ukirudi nitakumwagia petrol.Mwajuma unayapinga mafundisho ya mudy,au sio muislamu wewe?
Shogaangu bora wewe ni girlfriend mie niligundua ana mke na watoto tena hapo tumeshafika mbali tunaanza na kutaka kutambulishana.
Yasikie tu kwa mwingine yasikukute kwakweli.
Kama ndoa ni soon umeyajuaje ya kuwa na bwana muda wote na kumpa kila akitaka au wewe kupata kila ukitaka. Wenye experience ndio wana uwezo mzuri kujua ndoa inachosha au kukinaisha au ndoa siku zote ni honey moonInshaalaah soon