Changamoto za uke wenza

Dooh ngoja nikusaidie kusikitika.... It's hurts mno hiyo situation ni ngumu kumeza nakuombea upate nguvu za kuvuka hapo soon...
 
Bado hayajakukuta.Utakuja kuhadithia. Sisi wanaume sio wa kuridhika na papuchi moja
 
Acha tuu. Kuna muda nawaza mpaka naamsha vidonda vya tumbo ila ndo moyoo
Usijishushe thamani dada, kama unaumia ujitahidi kukata mawasiliano.

Mzigua nnakupendea hapo, unasemaga ukweli.Kuna vitu huwa unaweka wazi wengi hawawezi kuviweka wazi.

Pole sana.
 
Asante kaka. Nitajitahidi
Usijishushe thamani dada, kama unaumia ujitahidi kukata mawasiliano.

Mzigua nnakupendea hapo, unasemaga ukweli.Kuna vitu huwa unaweka wazi wengi hawawezi kuviweka wazi.

Pole sana.
 
wanaume wako 60 wote wanataka kuoa na wanawake wako 200 wote wanataka kuolewa kwa huo uwiano usiulize et wanawezaje wewe jua kwamba mmeo ni wako peke yako ukiwa nae ndani ila akitoka tu nje ni wa wengi huyo uke wenza si lazima akuolee mwingine ila kuchepuka tu ni uke wenza sema tu haujahalalishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…