Changamoto za uke wenza

Itakua anakupa hela
 
Leo nmechepuka na kimchepuko changu kidogodogo kinananipa raha sana kuliko my wife nimetumia chumba elf 15 na elf 10 ya nikiompa kama asante kwa shughuli na elf300 ya bodaboda jumla 28000 nmepiga magori 2 ya uhakika
 
Asante mpenzi..nimepoa na niko kwwenye safari ya kumove on. bora kumdate mume wa mtu sio bf wa mtu..
Mimi ni mume wa mtu nipo tayar kukufuta machoz yote na kukupa rah za dunia hii usije kufa bila kipata raha nakuja dm soon sawa my [emoji7]
 
Tukiwa A level mkuu wetu wa shule alituasa kuwa wanaume sio wa kuwaamini hata baba yako.
Hamna wanaume wa kweli aisee labda my daddy tu, the rest ni monster walah. Hawa exist kwenye hii sayari
 
So unapambana na hali yako [emoji2]
 
Hi wana JF,

Stori iko hivi: Nilifunga ndoa na mume wangu tuna mwaka mpaka sasa navyoandika hii thread. Isipokuwa mume wangu Ana mke mwingine kabla ya kuona na mimi ambao wote ni kabila moja kutoka huko mipakani mwa Tanzania. Mimi ni mwenyeji wa Pwani.

Baada ya kufunga ndoa na mimi, mume wangu alimtaarifu mke wake mkubwa kuwa kwa sasa ana wake wawili na zamu ilipangwa na mwanamke alilipokea hilo kwa sura niliyoona mimi.

CHANGAMOTO

Kumbe yule mwanamke alipokea taarifa kwa sura ya nje ila akawa anajipendekeza kwa wifi zake na ndugu wa mume na kuniangolea mimiabaya hali ya kuwa anifahamu Wala hao ndugu wa mume sijawahi kufika kwao.

Mwezi wa nane mwaka jana nikafunga safari ya kwenda kuwatembelea tujuane nikiwa nimeongozwa na mume wanting kwa simu Mimi nikitokea Dar. Nilisafiri safari ya siku nzima na siku ya pili nikafika mkoan humo.

Cha ajabu wenyeji wangu ambao ni mawifi kwa sehemu kubwa kuna wengine walisusa kunipokea na kwa madai wanaumwa hali ya kuwa so uhalisia, na walininunia kwa siku mbili nzima hali ya kuwa ndiyo mara ya kwanza tunaonana. na wengine walikuwa wananiimba mafumbo.

Basi niliishi katika hali hiyo kwa muda wa siku tatu katika mazingira ambayo yalinishangaza huku wakinifatilia na kuwasilianaa na bi mkubwa wangu huku Dar kumpa taarifa kuhusu mimi kufika kule na wanauvyonifanyia.

Siku ya tatu ikabidi niage kurudi Dar es salaam maana hali ya mazingira yale sikuipenda. Nilivyorudi nikamuhadithia mume wangu akaniambia achana nao na maisha yakaendelea.

Kwa upande wa mume wangu sina tabu nae hata kidogo ni mume mwema tena ananijali kwa kila hali na wala hawajali maneno yao maana wanasema mengi tu.

Mimi maamuzi yangu nimeamua kuwachukulia wao so chochote kwangu na hawawezi kunipangia maisha wakitaka wadili na ndugu yao wakijisikia, na mimi nitaplay nafasi yangu kwa mume wangu bila kuwajali wao kwa sababu sijaolewa na ukoo.

Ila sasa nimetaka ku-share nanyi wanaJF wenzangu; je, ushawahi kukutana na mambo kama haya kwenye ndoa na uliyashinda vipi majaribu?

Siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…