Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Na sio kigoma tu, ye anafikirikuingilia ndoa ya mtu shughuli ndogo iyo eee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sio kigoma tu, ye anafikirikuingilia ndoa ya mtu shughuli ndogo iyo eee?
Kweli kabisaWanawake mna roho ngumu sana. Kwanza ulikuwa mchepuko rasmi, ukakimbiaza mpaka ndoani; pambana tu. Mzalie na wana, hapo bado ni asubuhi ila akiongeza mwingine usiwe shari, muungane na mwenzio sasa.
Na wanajua ndoa za uke wenza ni heka heka adi mnazeeka......ila mawifi wakupende, wasikupende, kama kaka kapenda awana nafasiYaonyesha mawifi zako hawajakupenda, wamempenda bi Mkubwa aliyetoka mbali na kaka yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mzaramo shoga yangu ni kutoka mwisho wa reli.
SureeeeNa wanajua ndoa za uke wenza ni heka heka adi mnazeeka......ila mawifi wakupende, wasikupende, kama kaka kapenda awana nafasi
Muolewaji ni wewe sisi ushauri hatuna, pambana na hali ya mawifi zako, ila na wewe upunguze mdogo inaonekana unaupepeta sanaHi wana JF,
Stori iko hivi: Nilifunga ndoa na mume wangu tuna mwaka mpaka sasa navyoandika hii thread. Isipokuwa mume wangu Ana mke mwingine kabla ya kuona na mimi ambao wote ni kabila moja kutoka huko mipakani mwa Tanzania. Mimi ni mwenyeji wa Pwani.
Baada ya kufunga ndoa na mimi, mume wangu alimtaarifu mke wake mkubwa kuwa kwa sasa ana wake wawili na zamu ilipangwa na mwanamke alilipokea hilo kwa sura niliyoona mimi.
CHANGAMOTO
Kumbe yule mwanamke alipokea taarifa kwa sura ya nje ila akawa anajipendekeza kwa wifi zake na ndugu wa mume na kuniangolea mimiabaya hali ya kuwa anifahamu Wala hao ndugu wa mume sijawahi kufika kwao.
Mwezi wa nane mwaka jana nikafunga safari ya kwenda kuwatembelea tujuane nikiwa nimeongozwa na mume wanting kwa simu Mimi nikitokea Dar. Nilisafiri safari ya siku nzima na siku ya pili nikafika mkoan humo.
Cha ajabu wenyeji wangu ambao ni mawifi kwa sehemu kubwa kuna wengine walisusa kunipokea na kwa madai wanaumwa hali ya kuwa so uhalisia, na walininunia kwa siku mbili nzima hali ya kuwa ndiyo mara ya kwanza tunaonana. na wengine walikuwa wananiimba mafumbooo.
Basi niliishi katika hali hiyo kwa muda wa siku tatu katika mazingira ambayo yalinishangaza huku wakinifatilia na kuwasilianaa na bi mkubwa wangu huku Dar kumpa taarifa kuhusu mimi kufika kule na wanauvyonifanyia.
Siku ya tatu ikabidi niage kurudi Dar es salaam maana hali ya mazingira yale sikuipenda. Nilivyorudi nikamuhadithia mume wangu akaniambia achana nao na maisha yakaendelea.
Kwa upande wa mume wangu sina tabu nae hata kidogo ni mume mwema tena ananijali kwa kila hali na wala hawajali maneno yao maana wanasema mengi tu.
Mimi maamuzi yangu nimeamua kuwachukulia wao so chochote kwangu na hawawezi kunipangia maisha wakitaka wadili na ndugu yao wakijisikia, na mimi nitaplay nafasi yangu kwa mume wangu bila kuwajali wao kwa sababu sijaolewa na ukoo.
Ila sasa nimetaka ku-share nanyi wanaJF wenzangu; je, ushawahi kukutana na mambo kama haya kwenye ndoa na uliyashinda vipi majaribu?
Siku njema
Sisi Wanaume wa kweli tunajua kama Adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunawatumia wao kwa wao kuvuna Asali zao.Samahani mkuu wa Kambi nilitekwa kisha wakafoji account yangu sio mm nilotoa siri za kambiShida ya wanawake vitu vidogo vidogo tu vitakuuzwa mpaka kufikia level za kuwekeana vikwazo kama vile vya USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Wanaume wa kweli tunajua kama Adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunawatumia wao kwa wao kuvuna Asali zao.Samahani mkuu wa Kambi nilitekwa kisha wakafoji account yangu sio mm nilotoa siri za kambiShida ya wanawake vitu vidogo vidogo tu vitakuuzwa mpaka kufikia level za kuwekeana vikwazo kama vile vya USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaingiliaje ndoa ya mtu na akati wenyewe wako vizuri tu? Kwaiyo uyo mumeo alikuoa kabla ujafika ukweni? Kaa ukijua umeingia vitani, vita isiyokwisha adi unaingia kaburiniSio mzaramo shoga yangu ni kutoka mwisho wa reli.
Wazaramo Wana kasoro gani mamito
Ha ha kashindwa majukumu lazima asaidiweMbona unanikosea adabu..??
Kwanini haya haukuniambia mimi mume wenu, kiliko kuja kuni dhalilisha huku..!!
Na mbaya zaidi unajiona kana kwamba wewe ndio mwenye haki ilkhali umemkuta wa kwanza...??
Kha.....
Eti mume wangu "badala uniite mume wenu"....!!
Mwanamke mswahili sana wewe, tena naona unajitoa na ufaham kabisa kwamba ndugu zangu watajijua na kisha kwa taaambo kabisa unasitapa kwamba haujaolewa na ukoo...??
Ebu mwanamke koma, wewe ni spare tyre kama la gari tu. Na ukiongeza choko ntakuchamba ka'mkono wa kushoto....
Upo nyonyo...!!!!?????
Ndio raha ya maisha sio unaishi unakosa CHANGAMOTO ye akiwanga kusini mi masharik Basi siku zinaenda tu Hadi rahaUnaingiliaje ndoa ya mtu na akati wenyewe wako vizuri tu? Kwaiyo uyo mumeo alikuoa kabla ujafika ukweni? Kaa ukijua umeingia vitani, vita isiyokwisha adi unaingia kaburini
Apambane na hali yake
Kwani wanaume wangapi wanachepuka na wanazaa nje na michepuko.Kuna wanawake mna mioyo! Nikua desperate na kuolewa au? Uke wenza?harafu ndo unakua unajipa moyo bi mkubwa kashindwa kutimiza majukumu yake,akioa mke 3 sijui nawe unakua umeshindwa kutimiza majukumu yako! Lo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo titiiiiMbona unanikosea adabu..??
Kwanini haya haukuniambia mimi mume wenu, kiliko kuja kuni dhalilisha huku..!!
Na mbaya zaidi unajiona kana kwamba wewe ndio mwenye haki ilkhali umemkuta wa kwanza...??
Kha.....
Eti mume wangu "badala uniite mume wenu"....!!
Mwanamke mswahili sana wewe, tena naona unajitoa na ufaham kabisa kwamba ndugu zangu watajijua na kisha kwa taaambo kabisa unasitapa kwamba haujaolewa na ukoo...??
Ebu mwanamke koma, wewe ni spare tyre kama la gari tu. Na ukiongeza choko ntakuchamba ka'mkono wa kushoto....
Upo nyonyo...!!!!?????
Wanawake wanaoingilia ndoa za wenzao wanajikutaga sjui kina nan? Awajiulizi kwann skuwa awali, ama kwanini hajakuja single kunioa anakuja mume wa mtu tayari na bado anajiooona anaingia na hekaheka kibao ptyuuuuuuuuuKuna wanawake mna mioyo! Nikua desperate na kuolewa au? Uke wenza?harafu ndo unakua unajipa moyo bi mkubwa kashindwa kutimiza majukumu yake,akioa mke 3 sijui nawe unakua umeshindwa kutimiza majukumu yako! Lo!
Sent using Jamii Forums mobile app