Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...baba yangu mzazi alikuwa na wake wa5 - sikuwahi ona familia ikisarambatika kamwe.
...jamaa asichukulie reference ya familia yake na kutisha watu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni siku ya krismasi, Baba anamleta mwanamke nyumbani na kumtambulisha kwa lazima na madaha kwetu. Akimwambia mama "Huyo ndio mke mwenzako muheshimu".
Kabla ya hapo huyu mwanamke alikuwa mchepuko wa mzee, akazaa nae, na baadae akawa akawa ni mchepuko wa mzee, nahisi mzee alinogewa na shepu la yule mama, angali hata alikuwa ana mtoto (aliezaa na mwanaume mwingine) ila mdingi alimfanya official.
Mzee wangu alimnyanyasa sana mama yangu hata mbele yetu. Kusahau juhudi ya mama ndio ilikuwa sababu ya mzee kufika alipo (na hata pesa ya kuwa na jeuri ya kuoa mke mwingine). Alijitamba sana kuwa huyo mwanamke ndio aina ya mwanamke aliekuwa ana hitaji na kwa mama yangu alikosea step. Huyu mwanamke (mke wa pili) ili alinde nafasi yake alijitahidi zaidi katika ushirikina na vioja vingi vya kumharibia mama yangu.
Ilifika wakati mama aliondoka nyumbani. Maisha ya kuona mama ananyanyasika na baade ile hali ya kumkosa mama ilituathiri sana watoto kisaikolijia hadi katika elimu. Hatimaye biashara za mzee zilianza kufeli na mambo yake yakaanza kwenda vibaya, na ilionekana wazi kuwa baraka za huyu mzee ni kutokana na uwepo wa mama.
Wadogo zangu walikuwa wadogo sana, na malezi ya huyu mama hayakuwa original kwa wadogo zangu. So mama aliamua kusacrifice furaha yake na kuja kurudi ili akae atuleee ili hali alijua bado atakutana na kero.
Lakini yule mwanamke hakuwa kama vile mzee alivyotegemea, kama ni tabia mbaya aliionesha hata mara tano zaidi ya mama yangu. DAYS ARE NUMBERED! Yani huyu mwanamke ambae alikuwa anaonekana kama sweetheart wa mzee, Mzee alimfumania meseji za mapenzi kutoka kwa mmoja wa wateja wake na inasemakana kipindi huyu mzee alipokuwa hayupo huyu mwanamke alikuwa anaenda kujivinjali usiku na awala yake. hahah ...Mdingi alipiga akataka kuua na ilimuuma sio kawaida hadi akaita ndugu zake.
■WANAWAKE
JIULIZE, KWANINI MWANAMKE AKUBALI KUOLEWA KAMA MKE WA PILI KAMA SIO AMEKOSA UTU AU KUTAKA MTELEMKO WA MAISHA KWA KUWA WANAUME WALIOKWISHA KUOA UNAKUTA WAMESHATOKA KIMAISHA. MARA NYINGI MNAKUJA KUHARIBU MAISHA YA FAMILIA YA MKE YULE NA WENGI WENU MNAHAKIKISHA NAFASI MAALUM MNAISHIKA NYIE, SO MNAHANGAIKA KWA WAGANGA.
■MWANAUME
HAKUNA SABABU YOTOTE YA KUWA MKE ZAIDI YA MMOJA, HAWA WANAWAKE NI WALE WALE NA HATA HUYO WA PILI ATAKUWA NA MAPUNGUFU PIA. NA KWA SISI WAKRISTO TUNAAMINI KUWA MUNGU ANAFANYA AGANO NA NDOA YA MKE WA KWANZA NA UZAO WA KWANZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu Babu yangu alioa wake watatu na wote wako vizuri hadi wajukuu tunatembeleana, na huwezi kujua undugu wetu ni wa aina gani
Inategemea na baba yako alikua ni mtu wa aina gani yeye kama yeye usijumlishe na watu wengine!! Na baada ya msiba wa babu, bibi zangu wawili walitoka eda pamoja
Watu mkiachwa au mkiona dada zenu wamerudishwa nyumbani kwa utomvu wa nidhamu mnakuja hapa kutemea nyongo jf.
Hii tabia tulishaiacha mwaka 2019 hukooooll sababu haina faida.....
Mwaka 2020 kuendelea tunafocus na positive vibes kwenye mahusiano. Hizo gumu na visirani hebu mkazitupe hukoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
...muda mwingine ungeangalia na tabia za mama yako mzazi kwa baba yako-inawezekana ndio zilimsukuma baba yako kuoa mke mwingine mkuu.
...anyway-nawe umekuwa utajua kero za kukosea kuoa mkuu-ingawa mimi nimepatia mno kuoa na niko peace kabisa na familia since 2012
Sent using Jamii Forums mobile app
...inawezekana mama yake ndio mkorofi-...asikimbilie kumlaumu baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
...baba yangu mzazi alikuwa na wake wa5 - sikuwahi ona familia ikisarambatika kamwe.
...jamaa asichukulie reference ya familia yake na kutisha watu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikuambie alipokosea baba yako.
Mwanaume ukitaka kuoa mke mwingine, chondechonde usichanganye nyumba. Mjengee mmoja kuleeeeee, na mwingine kuleeeeeeeeee.
Kama laiti baba yako angemjengea nyumba huyo mwanamke, usingekuja hapa kuhadhithia kwa sababu msingekuwa mnaingiliana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya wake wa pili wengine ushirikina.
Una miaka mingapi kiumri? Naona unamwonea wivu baba yako we pambana na hali yakoIlikuwa ni siku ya krismasi, Baba anamleta mwanamke nyumbani na kumtambulisha kwa lazima na madaha kwetu. Akimwambia mama "Huyo ndio mke mwenzako muheshimu".
Kabla ya hapo huyu mwanamke alikuwa mchepuko wa mzee, akazaa nae, na baadae akawa akawa ni mchepuko wa mzee, nahisi mzee alinogewa na shepu la yule mama, angali hata alikuwa ana mtoto (aliezaa na mwanaume mwingine) ila mdingi alimfanya official.
Mzee wangu alimnyanyasa sana mama yangu hata mbele yetu. Kusahau juhudi ya mama ndio ilikuwa sababu ya mzee kufika alipo (na hata pesa ya kuwa na jeuri ya kuoa mke mwingine). Alijitamba sana kuwa huyo mwanamke ndio aina ya mwanamke aliekuwa ana hitaji na kwa mama yangu alikosea step. Huyu mwanamke (mke wa pili) ili alinde nafasi yake alijitahidi zaidi katika ushirikina na vioja vingi vya kumharibia mama yangu.
Ilifika wakati mama aliondoka nyumbani. Maisha ya kuona mama ananyanyasika na baade ile hali ya kumkosa mama ilituathiri sana watoto kisaikolijia hadi katika elimu. Hatimaye biashara za mzee zilianza kufeli na mambo yake yakaanza kwenda vibaya, na ilionekana wazi kuwa baraka za huyu mzee ni kutokana na uwepo wa mama.
Wadogo zangu walikuwa wadogo sana, na malezi ya huyu mama hayakuwa original kwa wadogo zangu. So mama aliamua kusacrifice furaha yake na kuja kurudi ili akae atuleee ili hali alijua bado atakutana na kero.
Lakini yule mwanamke hakuwa kama vile mzee alivyotegemea, kama ni tabia mbaya aliionesha hata mara tano zaidi ya mama yangu. DAYS ARE NUMBERED! Yani huyu mwanamke ambae alikuwa anaonekana kama sweetheart wa mzee, Mzee alimfumania meseji za mapenzi kutoka kwa mmoja wa wateja wake na inasemakana kipindi huyu mzee alipokuwa hayupo huyu mwanamke alikuwa anaenda kujivinjali usiku na awala yake. hahah ...Mdingi alipiga akataka kuua na ilimuuma sio kawaida hadi akaita ndugu zake.
■WANAWAKE
JIULIZE, KWANINI MWANAMKE AKUBALI KUOLEWA KAMA MKE WA PILI KAMA SIO AMEKOSA UTU AU KUTAKA MTELEMKO WA MAISHA KWA KUWA WANAUME WALIOKWISHA KUOA UNAKUTA WAMESHATOKA KIMAISHA. MARA NYINGI MNAKUJA KUHARIBU MAISHA YA FAMILIA YA MKE YULE NA WENGI WENU MNAHAKIKISHA NAFASI MAALUM MNAISHIKA NYIE, SO MNAHANGAIKA KWA WAGANGA.
■MWANAUME
HAKUNA SABABU YOTOTE YA KUWA MKE ZAIDI YA MMOJA, HAWA WANAWAKE NI WALE WALE NA HATA HUYO WA PILI ATAKUWA NA MAPUNGUFU PIA. NA KWA SISI WAKRISTO TUNAAMINI KUWA MUNGU ANAFANYA AGANO NA NDOA YA MKE WA KWANZA NA UZAO WA KWANZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
I bet wewe ni wa kike. Hivyo ulikuwa unalishwa sumu na mamako kuwa bi mdogo ni mshirikina. Nina imani binafsi hujawahi kuona mamako mdogo akifanya ushirikina.
Binafasi babangu ana wake 4, watoto wote wa kiume tulikuwa tunakula pamoja na baba. Watoto wote wa kike wanakula sehemu moja na mama zao. Mpaka leo tunapendana na tunatembeleana