Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
hahaah...Ahsante simple n cĺear
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo vya kushare lakini sio mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo vya kushare lakini sio mapenzi
Someni kile wanawake wenzenu wa kenya wameomba hebu acheni kuwa wajinga aisee. Sinhle mothers humu ni wengi ajabu, wapo tayari kujishkisha popote, hivi kama wanaume waliowazalisha wangeruhusiwa kuwaoa si tusingekuwa na watoto wa migaani leo hiiView attachment 1334519
Sent using Jamii Forums mobile app
Una miaka mingapi kiumri? Naona unamwonea wivu baba yako we pambana na hali yako
Ooh. Sorry kwa kudhania wa kike. Though mama zetu akishamchukia mke mwenzake utaambiwa kila baya kuhusu babako achikia mbali mamako mdogo.sio wa kike boss, na stori yangu ilikuwa ndefu ila kwa info kwako, kuna wakati yule mzee alimbamba na kwa hasira akampeleka hadi kwa huyo mganga wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh. Sorry kwa kudhania wa kike. Though mama zetu akishamchukia mke mwenzake utaambiwa kila baya kuhusu babako achikia mbali mamako mdogo.
It is very wrong kulaani uke wenza kwa kisa kimoja tu cha nyumbani kwenu.
Anatafta kiserengeti boyZamani wanaume walikua wanaoa zaidi ya mke mmoja ili waweze kusimamia mashamba na mifugo, wazalishe na kukuza uchumi wa familia.
Siku hizi baba akijisikia amekosea step anatafuta mke mwingine, ila sina uhakika wa kosa linalofikisha huku ni lipi. Pia sijui mama akikosea step anatafuta mume mwingine au anakua single mama
Tatizo wanaume ni wabinafsi sanayah nalaaani coz of what me and my family went through...sio hivi hivi kama unavyofikiria, my mom went thru hell kwa sababu ya yule mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani wanaume walikua wanaoa zaidi ya mke mmoja ili waweze kusimamia mashamba na mifugo, wazalishe na kukuza uchumi wa familia.
Siku hizi baba akijisikia amekosea step anatafuta mke mwingine, ila sina uhakika wa kosa linalofikisha huku ni lipi. Pia sijui mama akikosea step anatafuta mume mwingine au anakua single mama
Tatizo wanaume ni wabinafsi sana
Kama ilivyokua kwa baba yako sio wote wapo hivyo pia
Ukikua ndo utajua kwanini baba yako ameamua kuongeza mke
Kama hujaoa wewe bado mdogo tu, kipimo cha ukomavu wa akili ni ndoayah nishakuwa, ila siwez upumbavu wa kuongeza mke. nawaachia washamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaoa wewe bado mdogo tu, kipimo cha ukomavu wa akili ni ndoa
Hana akili huyo ni puto kichwani, we unazani kwanini kiongozi anaanza kupimwa kwa namna anavyoishi na mke wake na familia yao kiujumla?nishaoa, nafurahia na hata kama akiniudhi sioi wa pili. ukomavu wa kili sio kuoa. kuoa ni step ya maisha ..kuna watu wa umri wako hawajoa ila wana akili zaid yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili huyo ni puto kichwani, we unazani kwanini kiongozi anaanza kupimwa kwa namna anavyoishi na mke wake na familia yao kiujumla?
Hana namna anajitaidi tumuone yuko sawa na haitakuwa sawa ndio maana kaonekana kama mlozi ukweni ata ule ukaribu wa kinafki ukawashinda mawifi 😩 😩Harafu anaonekana ana mdomo ndo maana walimchunia huko ukweni,yaani utafikiri wale waliokotwa huko ushwahilini,mdada anayejiheshimu Kwanza hawezi kua na hizi lugha oooh lapekee yako Ni kaburi tu hahaha to be honest ana uswahili na shari.
Sent using Jamii Forums mobile app