Kuna babu wa kiarabu nilimzoea aliniambia ana wake watatu nikamwambia hongera uko na raha alinijibu tu katika kitu ambacho alikosea maishani mwake ni kuoa wake wengi na ktk kitu ambacho kawausia vijana wake ni wasijaribu kuoa mitala nikamshangaa sana nikamwamuuliza dini si inakuruhusu akaniambia acha tu hakuna kitu kibaya kama kuwa mtumwa wa mwili wako. Yaani wewe maisha yako unazunguka tu kutoa mapenzi kwa hao wanawake halafu wanawake wenyewe hawajatahiriwa kwa hiyo wako na ashki sana matokeo yake unachoka mwili na akili ukifika kwa huyu ukimwambia nimechoka anakujibu unampenda zaidi fulani na kumbuka wanashindana kutoa penzi matokeo yake wewe unachoka na bado watoto wanazaa wengi na wewe ndio uhudumie, usipohudumia unaonekana unapendeleaw fulani aliniambia sina hamu tena ila according tu yeye mwenyewe watoto wake wa mke mkubwa ndio waliobarikiwa kwenye maisha.na ndoa pia.
Nilimuuliza why hao wamebarikiwa zaidi akaniambia mara nyingi mwanamke mwenye utu huwa hawezi ingilia ndoa ya mwingine wengi huwa wanakuwa ni mashetani so hata watoto wanaowazaa ni hivyo hivyo
Nilimuuliza why hao wamebarikiwa zaidi akaniambia mara nyingi mwanamke mwenye utu huwa hawezi ingilia ndoa ya mwingine wengi huwa wanakuwa ni mashetani so hata watoto wanaowazaa ni hivyo hivyo