Changamoto za uke wenza

Hakuna uke wenza simple simple we mama, hiyo ni kabla hata ya enzi za nabii Samweli.
 
Lumaitha,

Pole, mumeo si kashakuambia achana nao? Basi anawajua hao ndugu zake tabia zao.
Kuna watu wa ajabu sana yani, unaingilia kaka yako kweny ndoa yake jaman!
 
Wanawake mna roho ngumu sana. Kwanza ulikuwa mchepuko rasmi, ukakimbiaza mpaka ndoani; pambana tu. Mzalie na wana, hapo bado ni asubuhi ila akiongeza mwingine usiwe shari, muungane na mwenzio sasa.
 
pole sana

ila samahani sana tena narudia samahani kwa dhati,. naomba uniambia swagga alizokupiga jamaa mpka ukaukubali ukewenza, nataman nizitumie hapo badae ,.. chondechonde mkuu nisaidie hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uamuzi wa kuifuata maisha yako na mumeo tuu Ni bora.Sbb hao mawifi Siyo mumeo na wakija kwako wafuate sheria.zako.fuuul stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…