Changamoto za uke wenza

story yako bado inaendeleea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi mdingi wetu alikuwa anasema nataka kuowa mchina mbele ya Mama,, Kila akilewa analeta story hizo hizoo tuu... Imepita Kama miaka 2 akawa hazungumzii kuhus huyo mchinaa, ikabidi mdogo wangu amkumbushee "baba eti mamdogo mchina Yuko wapi?? "... [emoji3],, Dogo alikula banzii la hatariii chaliii; siku 3 hakwenda skuli...[emoji1787]!

Kumbe baada ya kufatilia yule mchina alimtapeli Kama milion 12 ... Mpka leo yupo na mkewe fresh tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahahahahaha.... mke wa kwanza ndio wako wengine unasaidia tu kupunguza idadi ya wanawake ambao hawajaolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…