Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

story yako bado inaendeleea.
Hapo tatizo ni baba yako siyo uke wenza.
Mwaka wa sita leo naishi na wanawake wawili lawama pekee ninazopataga ni kwa nini kwa mama fulani umelala siku nyingi??
Na hapo ujue upande A ulizingua nikaenda B,siku nimerudi A ni mpole na atauliza kwa lugha ya upendo maana tofauti na hapo nitarudi B,lakini kuhusu mahitaji ya familia ni 50/50 kabisa kama A watalala njaa basi na kule B hali iko vilevile maana kama A kuna chochote nitakigawa na B wapate,sasa naomba umlaumu baba yako alinogewa akili akaweka rehani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi mdingi wetu alikuwa anasema nataka kuowa mchina mbele ya Mama,, Kila akilewa analeta story hizo hizoo tuu... Imepita Kama miaka 2 akawa hazungumzii kuhus huyo mchinaa, ikabidi mdogo wangu amkumbushee "baba eti mamdogo mchina Yuko wapi?? "... [emoji3],, Dogo alikula banzii la hatariii chaliii; siku 3 hakwenda skuli...[emoji1787]!

Kumbe baada ya kufatilia yule mchina alimtapeli Kama milion 12 ... Mpka leo yupo na mkewe fresh tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahahahahaha.... mke wa kwanza ndio wako wengine unasaidia tu kupunguza idadi ya wanawake ambao hawajaolewa
Sisi mdingi wetu alikuwa anasema nataka kuowa mchina mbele ya Mama,, Kila akilewa analeta story hizo hizoo tuu... Imepita Kama miaka 2 akawa hazungumzii kuhus huyo mchinaa, ikabidi mdogo wangu amkumbushee "baba eti mamdogo mchina Yuko wapi?? "... [emoji3],, Dogo alikula banzii la hatariii chaliii; siku 3 hakwenda skuli...[emoji1787]!

Kumbe baada ya kufatilia yule mchina alimtapeli Kama milion 12 ... Mpka leo yupo na mkewe fresh tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hapo sasa!!! Yeye baba yake hakua na msimamo na familia yake hakuiheshimu ndio maana yote yakatokea

Sisi kwetu kwanza ni marufuku kusikika neno wa kambo sijui, wote ni mama tofauti ndio hapo mamkubwa/mdogo bibi ni bibi na kokote mtu anapojisikia kwenda anaenda (kila mke na mji wake) mpaka ujue undugu ni kwasababu ya babu tu labda mtu akuambie tu

Na wajomba zangu wameoa wake wawili wawili na wala hakuna shida yoyote tuliyosikia
Nakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom