Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe tupia na kavideo ka mzee wa mizigo ili stori inogeMama mzazi ndio mmoja wake wengi
Ndo uwone sasa alivyo haelewekiiishe's just a hoe. Was and will always be.
si alijua kuna foleni? Then??
Mkuu mimi sikulazimishi kuamini mnachokiamini ,Kwa hiyo unataka kutuambia sie madereva wa Magari makubwa ambao sometimes tunakwama Congo mwezi mzima tunachapiwa? Vipi wife wa rubani nae atakuwa anachapiwa tu maana hawezi kurudi nyumbani kila siku. Mwanamke kuigawa nje ni tabia tu wala si kusema hawezi kuvumilia siku mbili mpaka zamu yake ifike.
sio kweli
hapana Ila hata km nikiwepo sichepukiiiUmeshakuwa katika ndoa za mitala?!
Ukweli ni kuwa hamna mwanamke anayetaka mumewe aoe mke mwingine
Kama unampenda mumeo siku akikwambia anataka kuoa mke mwingine mapenzi yatapungua kwa asilimia kubwa kama sio kwisha
hapana Ila hata km nikiwepo sichepukiii
Uko sahihi sana mkuuUmeshakuwa katika ndoa za mitala?!
Ukweli ni kuwa hamna mwanamke anayetaka mumewe aoe mke mwingine
Kama unampenda mumeo siku akikwambia anataka kuoa mke mwingine mapenzi yatapungua kwa asilimia kubwa kama sio kwisha
Ndio ujue hawaridhishwiLazima kuna sababu na kinachonishangaza mie mpaka wale wake wakubwa pia wanachipuka na ndomana najiuliza kunanini hapo?
Mkuu unachosema ni sahihi ila wengine wanaolewa wapo wapo tu ,na kubwa nilichokuja kugundua wengi wanakuwa vibinti bado vina ile Ashq jonoon maana havituliii ba wapo wale hamdillah mungu amewastiri nao wakastifika.Kwanza mke wa kwanza huwa ni mkubwa sana na huwa ana watoto wakubwa nyumbani ,mtu ana miaka 49+,50 huna haja ya kuwa na wasiwasi
Mke wa pili kaolewa kwa mapenzi yake na kupenda
Halafu siku zote wanawake wanaokuwa kwenye polygamy ni wana dini Fanya tafiti kuna mmoja huku mtaani ni mke mwenza tokea mafuriko yatokee mume wake hakurudi tena nilimsikia akiwalalamikia akina mama kuwa ni miezi 9 hajamuona mume wake na kashikwa ,angekuwa mwingine hapo kitambo amechepuka wengi ni wale waliolelewa kidini dini
Huku mtaani kuna wanawake ambao ni zaidi ya 20 wapo kwenye ndoa naweza kukuonyesha na hawapo kwenye polygamy lakini wanachepuka balaa
Tafiti yangu mm hawa wenye ndoa moja ndio kiboko ase tena wale wa maofisini na uswazi uswaZi
Sawa kabisa mkuu ndio lengo langu la kuleta uzi huu kuwa watu wawe na tahadhari wasiwe wenye kujisahauUpo sahihi kabisa mkuu cha msingi tu kila baada ya miezi mitatu unawapima afya zao ili kuangalia kama wamekwisha jisajiri kwenye upande mwingine
Unajua kuchipuka mkuu hakuonekani usoni na wala huwezi mzania mtu na hata ukiambiwa unaweza bisha .Upo sahihi kabisa mkuu cha msingi tu kila baada ya miezi mitatu unawapima afya zao ili kuangalia kama wamekwisha jisajiri kwenye upande mwingine
Sawa ila wapo wanaoridhishwa na bado wakaenda ,Ndio ujue hawaridhishwi
Unajua huli jambo mkuu ni pana sana maana inaweza ukakuta mwanamke anafanya haya yote tu kulipa kisasi kisa umeowa .Ndio ujue hawaridhishwi