Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Usisemee situation ambayo hujakutana nayo


Baba yangu aliniambia nisije kukataa mtt km si wangu na nijiepushe kuzaa watoto hovyo mfano kuwa na watt 3 na kila mtt ana mama yake sikumuuliza kwann lkn nw naelewa kwann
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nn?!!
 
Kwani wanapooa wake wengi wanategemea nini?

Maisha yenyewe ya sasa hivi wanaume wenye nguvu ni wa kuhesabu ikiwa mwanamke mmoja mtu anashindwa kumridhisha unadhani ukiwa na zaidi ya mmoja nini kitatokea.
kwaio mwanaume huyo akioa wawili au watatu huwa si chochote, lakini akitoka na makahaba mia ndio unamuona ana nguvu?
 
Amekwambia kuwa dushe ya foleni haiwezi? kwaio yeye ataka kila siku apewe dushe? ameona mapenzi na kupendwa ni kupewa dushe tu huyo mwanamke?

Mie nakaa zenjy na uku mambo ya wake wawili mpaka wanne ni ya kawaida, sijawahi kusikia kesi ya kipumbavu kama hizi uloleta eti mtu hawezi dushe ya foleni. Kikubwa ni wake wenza kugombana tu juu ya wivu lakini hakuna anaechepuka kwa sababu izo. Ukiona kachepuka sio kwa sababu ya uke wenza, ni sababu za kikahaba tu kama walivo magirlfriends wengine ambao hawana utulivu
 
Siyo kweli, wengi wanaolea tamaa ukifuata mafundisho ya dini nina hakika wengi wasingeoa.
Nimekuelewa sana mkuu ulipolenga hasa ila nalo ni kweli kabisa ,
maana kama ni kufata dini basi pia ina taratibu zake na ndomana ikasema kwa wenye " kuweza "

Hili neno kuweza linamaana pana sana ,kwa wenye kuelewa maana uwezo wa hapa ni wanamna nyingi ,
Uweze kuwa mudu n.k
 
Mkuu mimi sikulazimishi kuamini mnachokiamini ,
ila usia wangu usijisahau jaribu kufanya utafiti na ziara za kushtukiza ,
usipende kumwambia kila unapirudi au akajua ratiba zako za safari,litakusaidia kujua mengi ,maana wapo pia wanao jiheshimu na wapo ambao hawajielewiii

ila kwanyinyi madereva Doh ni hatar ila ngoja wengine watakuja kukueleza na wao
Mwanamke kama hana maadili mema, nataka uwemo ndani ya nyumba na atakuletea mtu wa kumpiga dushe na hutojua, we unasbr ufanye ziara za kushtukiza? we mwenyeo unajiuliza unapokuwa mihangaikoni kutafta riziki mke wako anafanya nini uko alipo? teh teh teh
 
Tatizo watu hawajui ndoa nini, wao wanajua ni kuoana na kugegedana... na ndo wengi wanapofeli
 
Mwanamke kama hana maadili mema, nataka uwemo ndani ya nyumba na atakuletea mtu wa kumpiga dushe na hutojua, we unasbr ufanye ziara za kushtukiza? we mwenyeo unajiuliza unapokuwa mihangaikoni kutafta riziki mke wako anafanya nini uko alipo? teh teh teh
Mkuu tunarudi pale pale ziara za kustukiza ni muhimu iwe mchana au usiku,
maana huwa wakijuwa ratiba yako basi andika umeumia ,
kama mchana hunatabia ya kurudi basi atautumia muda huo huo wa mchana na kama usiku basi ni vile vile,

Unajua wapo wanaume wanatabia huwa hawarudi nyumbani kwao mpaka watoe taarifa ,sasa hiyo watoto wa kike huwa wanachukuwa point na kuanza kufanya yao mpaka utaporudi
 
Back
Top Bottom