Changamoto za uke wenza

Changamoto za uke wenza

Great Grandpa Alioa Sita
My Grandpa 3
watoto wapo happy wajukuu tupo happy
Likizo Tunatembeleana Xmass Tunakutana migombani kwa bibi mkubwa Maana Yeye tu ndo Yupo Hai 81Years Old
Yaloikuta family yako Usijumuishe kujudge Na wengine


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh. Sorry kwa kudhania wa kike. Though mama zetu akishamchukia mke mwenzake utaambiwa kila baya kuhusu babako achikia mbali mamako mdogo.
It is very wrong kulaani uke wenza kwa kisa kimoja tu cha nyumbani kwenu.
Leo Kuna mada nilikuwa naisikiliza wasafi tv kwa kweli niliipenda.

Kwa Nini wanawake Ni wepesi wa kuwaambia watoto mapungufu ya baba yao lakini kamwe huwezi kusikia baba akiwaambia watoto mapungufu ya mama yao?

Binafsi Mimi katika kukua kwangu nimesikia kutoka kwa mama kesi nyingi za namna mzee wangu alivyomtesa kwenye maisha yake, but kamwe sijawahi kusikia kesi hata moja ya mzee wangu akimshutumu mama yangu.

Ni only once mzee wangu aliwahi kunitamkia Tena kwa tahadhari Sana, akaniambia mama yenu hayuko vizuri kichwani jaribuni kumshauri arudi nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yah nishakuwa, ila siwez upumbavu wa kuongeza mke. nawaachia washamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na imani Kama yako. Niliapa kwa kila mtu kabla ya kuoa kuwa hutakuja kusikia Nina vitu Kama hivi Mara mtoto wa nje Mara sijui michepuko Mara sijui MKE wa pili,

Sasa Nina miaka zaidi ya 10 kwenye ndoa mtizamo wangu Ni tofauti kabisa kuhusu Mambo yote hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nishaoa, nafurahia na hata kama akiniudhi sioi wa pili. ukomavu wa kili sio kuoa. kuoa ni step ya maisha ..kuna watu wa umri wako hawajoa ila wana akili zaid yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mauongo mengi Sana. Hakuna aliyeoa anaweza kuja na story ya baba na mama yake hapa wakati tayari ana ya kwake yanayomuweka bize Na kuhitaji kichwa chake kwa asilimia kubwa kudeal nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanajua ndoa za uke wenza ni heka heka adi mnazeeka......ila mawifi wakupende, wasikupende, kama kaka kapenda awana nafasi
Kusema simple ila yaumiza moyo, ndomana mwenzetu kayasema, yasingekuwa ya uchungu angepiga kimya hata mzee hasingemwambia kama nilinuniwa na Dada zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lyaule Kitundu,
Kabisa mkuu. Mama zetu tunawapenda sana lakini usipojiongeza unaweza kumwona mzee wako hafai na ukaacha hata kumsaidia.
Nikiwa mdogo mzee wangu alikuwa ananilipia karo ya shule private lakini hajawahi kuniambia anavyoteseka ili atulipie karo. Mama yeye anakupa poket money iiyofika hata 5% ya pesa anayolipa mzee lakini pesa yake hiyo lazima aisindikize na maneno. Utasikia "yaani babako anashindwa hata kukupa poket money anadhani huko mnaishije? Anyway shika hii mwanangu, si unaona sina kazi ya maana ninaangaika tu wanangu msome vizuri". Sasa hapo ukiwa boya mamako amekupandikiza sumu mbaya.
 
Shida ya wake wa pili wengine ushirikina.
Aisee.
Haka kamchepuko kangu ka single maza ngoja kabaki cheo hicho hicho tu.
Sikapandishi cheo.Sema ni kapambanaji na naahidi kukasaidia kaweze kujitegemea na kusimama kenyewe kimaisha maana at 24 years huwa naona kama bado ana safar ndefu sana kimaisha.Katamuu
 
Tabia nikama ngozi kashindwa kuishi na mmoja waliyeanza naye moja unazani wewe utayamaliza? Atapata na mwingine halafu wakwanza na watatu ndiyo watakuwa mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020-03-10 20.08.43-1.jpg
 
Back
Top Bottom