Nilidate na binti mnene ana kitambi hivi kimeshuka basi nikiwa namnyonya K kile kitambi kinanifunika kwa juu nakosa pumzi. Yaani nikijifanya sterling nasuffocate kabisa.
Kwahiyo inabidi niwe nakizuia kitambi ili kupata space ya kutosha.
Sawa ungekua unamfahamu au unanifahamu nisinge mleta humu mtandao, hi ninjia nyingine ya kupungusa hasira na kero kwake its called "stress management" inasaidie kuboresha ndoa na mahusiano na kupuuza kero zingine, sijamdharirisha kwasababu humjui kakaMheshimu mkeo kamanda. Yaani unamwongelea hivi maungo yake mitandaoni utafikiri unaongelea changudoa uliyemwokota barabarani. Huyu ni mkeo wa ndoa. Msiri wako. Mwandani wa moyo wako. Mama wa wanao. She deserves better than this [emoji51][emoji51][emoji51]
Siyo chang'amoto ni changamoto ndiyo maana hatuandiki ngombe tunaandika ng'ombe.Mkuu chang'amoto hazitatui kwa kuongeza chang'amoto Zingine
Basi endelea kufuatilia comments hapoMkuu chang'amoto hazitatui kwa kuongeza chang'amoto Zingine
Mungu bariki sana vibonge. Wako poa sana. Wana upendo wa kutosha, kila saa ni kutabasam tuu, hakuna makelele ya hovyohovyo halafu pia hakuna complications.
Atakaeponda vibonge na alaaniwe!
Ndiyo alikua 105kg kapunguza kilo nne tangu nimuoe
Kaka Hilo ni furushi
U wife material ni tabia ya mtu na sio umbile la mtu.Wengi ni 'wife material' for your information kuliko vi modo vyenu
Majority ya wanawake wembamba ni wakorofi na wasumbufu ukilinganisha na wanene out of my exprienceU wife material ni tabia ya mtu na sio umbile la mtu.
Hakuna mahusiano yoyote kati ya umbile la mtu na tabia njema.
Kwamba mwanamke akiwa model sio wife material ila akinenepa tu akawa bonge anakua wife material?
I'd feki hiyo, so hakuna udhalilishaji wowoteMheshimu mkeo kamanda. Yaani unamwongelea hivi maungo yake mitandaoni utafikiri unaongelea changudoa uliyemwokota barabarani. Huyu ni mkeo wa ndoa. Msiri wako. Mwandani wa moyo wako. Mama wa wanao. She deserves better than this [emoji51][emoji51][emoji51]
Weka pichaHabarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?
Chang'amoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.
Chang'amoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.
Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.
Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.
Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!
Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?
Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.