Changamoto za wake vibonge

Changamoto za wake vibonge

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,262
Reaction score
12,855
Habarini za asubuhi, mke wangu ana uzito wa kilo 101, tumekaa katika mahusiano takribani miaka saba, (7) sijui wenzangu wenye wake wenye uzito mkubwa mnapitia experience nayopata au ni wa kwangu tu?

Changamoto ya kwanza: Akilala saa nne ni mpaka asubuhi hata hageuki wala kuniamsha ni shida kweli nikiwa na ratiba ya kudamka.

Changamoto ya pili: Ni kukoroma akiwa katika usingizi mzito, huwezi kupata usingizi mpaka amalize kukoroma.

Changamoto ya tatu: Akikaa kutizama runinga lazima alalie sofa au anilalie mimi nikiwa karibu nae, ni marufuku kwake kukaa upright kwenye kochi sebuleni.

Changamoto ya nne: Hapendi kula breakfast mapema, anapendelea ale saa tano au sita, alafu hali lunch tena mpaka supper. Anakula milo miwili tu kwa siku.

Changamoto nyingine: Anapendelea missionary style tu (wakubwa mmenielewa) lakini anapenda almost kila siku mchana au asubuhi ila sio usiku wa manane!

Je ni wa kwangu tu au wote wenye unene huo wako hivyo?

Tafadhali karibuni wenye wanene kama wa kwangu tupeane uzoefu na suluhisho la kutatua chang'amoto hizo za wake zetu wapendwa.
 
Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
♥️🍓 vibonge.
 
[emoji3531][emoji526] vibonge.
Hapo down town iko safi kabisa tight vizuri sana na moto wa kutosha......sasa kazi iko kwenye kukatika hahahaha
 
Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
♥️🍓 vibonge.
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Doggy VP au una kiba100 ... Hilo Ni Swala la kuzungumza na Bebe wako.
Kazi ipo akifika mshindo mapaja yanakuwaga mazito ghafla...kazi kuzuia Kama alivyosema mdau hapo..
Hiyo Milo miwili...
Kiepe sana...
Nyama nyama...
Tuvitu twa kukaanga kaanga...
Me nimepiga marufuku Ila Mtu ndo anazidi kuwa Tembo.

SEMA downtown Manhattan kunakuwaga Tight alafu Kina Kifupi.
♥️🍓 vibonge.
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Mungu bariki sana vibonge. Wako poa sana. Wana upendo wa kutosha, kila saa ni kutabasam tuu, hakuna makelele ya hovyohovyo halafu pia hakuna complications. Atakaeponda vibonge na alaaniwe!
kibonge sio swala je, ana 🐸🐸🐸🐸
 
Back
Top Bottom