Hamkumfanyia interview?
Ukipata dada wa kazi kwanza mpe mkataba wake wa kazi ausome. Akimaliza kusoma muulize alichoelewa kutoka kwenye mkataba kama ameridhia atie signature
Mpe sharti la kupima ngoma. Akiwa mwathirika usimnyanyapae ila mpe off siku za kitengo.
Ulimpa dawa gani ?
mkuu nakuibia siri ,anajipamba kwa ajili ya mumeo /bwanako
Hahahaha nimecheka sana😀 wakwangu alikuwa ana beba mtoto mgogoni hamshushi analala anaamka bado kawekwa mgogoni alf yeye anaongea tu na simu hana habr kabs mtoto alizoea mgogo jaman alaf anauita njiimu anasema hatak usumbufu mtoto ni mgogoni tu akishushwa ni kula tu anarudishwa kwenye njiimu
Bosi wangu kwan hausigeli sio wanawake?
Kwani house maid siyo mwanamke?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TATIZO LA KUTOKUSIKIA NA MABEKI TATU WOTE
Daah nimekasirika sana aiseeSio kupima Ki usawa mnatakiwa mkapime wote, mana hata wewe au watoto wako wanaweza kuwa na maambukizi. Hii imetokea kwa jirani yetu ana vijana nyumbani kumbe mmoja ameathirika, dada wa kazi Kaja kaanza kumgegeda hadi kamwambukiza ngoma mtoto wa watu.
Ulikuwa unahofu asije akawaua wewe na mwanao wakati huyo mwanao ulikuwa unamuacha nae siku nzimaNimekuja kujua hayo mwezi wa 8 kuwa yeye ndie aliekua anampiga mtoto. Mwanzoni alimsingizia mtoto mwenzie tulipokua tunakaa mwanzo. Tukahamia kwingine siku namcheck mtoto nakuta kajaa alama za kucha mapajani.
Toka nigundue hakuwahi kumpiga tena.
Ila ya uchizi nimegundua kama two weeks ago. Sikua na jinsi nikamrudisha tu kwao. Alikua ananipa mawazo nikiwa kazini jamani.
Usiku nikilala nafunga mlango na funguo ukichaa usije ukampanda akaja kuniua na mwanangu
Yaaan vuz* lilikuwa linanichoma hatari, ila sikuacha![emoji23][emoji23][emoji23]Ukala beki tatu jimama
Ukitaka kujua roho ya mtu chunguza muda anao kaa na ma house girl.
Kuna aliyeondoka ameiba vitu kibao, alisahau kuwa katika stori siku za kwanza alishasema mpaka kijiji anachotoka.Jamani kwa hiyo best hivyo visa mpaka.vya uchawi kuweka chunvi kwenye uji na kadhalika MTU asipokaauda mrefu na H/G achunguzwe Roho yake??japo ni kweli kuna maboss wana roho nzito ila sio kila Bosi asipokaa muda na mdada basi achunguzwe.Je Wewe hujawai pata vimbwanga vyao hata kidogo?
inferiority complex ndiyo inawafanya waonekane kama wana matatizo ya akiliHakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza Chumvi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33]
Kuna siku tukamtuma sokoni tukamuandikia mahitaji ya kununua sasa kumbe hajui kusoma bhana kwenda sokoni akampa jama kikaratasi amsaidie kununua vitu jamaa likamnunulia vitu vichache hela nyingine likasepa nayo, mdada anarudi home vitu havijatimia na hela hana[emoji23][emoji23][emoji23] ikabdi asema ukweli hajui kusoma kabisa.
Alafu asilimia 80 wanakuwa kama wana matatizo ya kutokusikia vizuri au sijui huwa wanajifanyisha...?
Katika maisha yako ushawahi shuhudia kituko gani cha beki tatu au mlipata ugumu gani kumtrain beki 3???
Ulikuwa unahofu asije akawaua wewe na mwanao wakati huyo mwanao ulikuwa unamuacha nae siku nzima
Tumia akili na si hisia wakati wakumjibu mtu afu usikurupuke kwenda kwenye conclusion wakati hujaelewa kilichoandikwa,vitu ulivyoandika ni miner sana kwangu nimeelezea changamoto ya hg tulieishi nae kutotaka kukaa kwenye makochi sababu ya mazoea hata kama hajakatazwa unakuta kakaa chini + hataki kujumuika kula nasi mezani analia jikoni mpk alipozoea ndoakabadilika lkn si kusema nilimkatazaIkiwa ulimaanisha ni jambo la ajabu au baya kwa yeye kukaa kwenye kochi na kula na familia pamoja mezani, then you are so low. Utakuwa ni mwenye nafsi fukara sana. Kama unaweza kumwamini APIKE CHAKULA UNACHOKAA HAPO KWENYE HIYO MEZA YAKO NZURI UKALA lakini saa ya kula anakuwa hana hadhi ya kukaa kula na wewe, basi jikague:
1. Elimu yako
2. Imani yako (ikiwa una dini)
3. Ustaarabu wako.
Ukuu na mamlaka ya mtu hudhihirika kwa namna anavyowachukulia walio wadogo kwake. Be humble, great you shall be.
Duh basi huyo kibokoBwana gani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hamna mwanaume anaekuja kwangu na siishi na mwanaume. Labda alikua anajipamba kwa ajili ya my son