strong star
Member
- Jul 15, 2021
- 36
- 42
Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe na watu wanao zungumza lugha hii.
- Waswahili kukosa kujiamini na kukieshimu kiswahili.
Bado waswahili wengi tunakosa kujiamini na kukionea aibu kiswahili hasa ikiwa mbele ya wageni kutoka inchi mbalimbali hivyo kukizuia kiswahili kama lugha kukua na kutanuka zaidi na zaid katika mataifa mengine hasa ya Ulaya.
- Kukua na kuendelea kwa sayansi na teknolojia
kutokana na kutanuka zaidi kwa sayansi na teknolojia kunawafanya waswahili wengi kujikuta wanalazimika kutumia lugha nyingine ndani ya kiswahili na kusabibisha lugha hii adhim kudumaa katika ukuaji wake ,kwa mfano neno "ntakutwit" badala ya "nakutumia ujumbe mfupi", "ntakucal" badala ya "ntakupigia" ,na maneno mengine mengi.
- Sera na mipango ya serikali.
Pamoja na juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kukuwa na kuendeleza kiswahili bado hazikidhi mahitaji ya waswahili, kama uonavyo sasa vijana wengi wanaendeleaje kukiharibu na kukitumia vibaya wakati hii ndio tunu ya pekee sana katika inchi yetu.
- Kukua kwa elimu nchini.
Kutokana na kuendelea kwa elimu inchini kunaendelea kukiadhili sana kiswahili kwani wasomi wengi wanao andaliwa hapa uelekea inchi zingine hasa ukanda wa maghalibi ambako ujikuta wakilazimika kujifunza lugha zingine ili kujiendeleza katika mawasiliano na kujikuta wakisahau tena kiswahili.
Njia bora zaidi za kujikinga na kukiokoa kiswahili ili kiweze kuendelea na kujitanua zaidi na zaidi
- Sera na mipango bora kutoka serikalini na baraza la kiswahili Tanzania ( BAKITA ), kwa mfano katika kuvumbua maneno mapya kila siku ili kiswahili kiende na wakati na kukizi maitaji.
- Kutolewa kwa elimu ya kutosha kwa waswahili ili kuondoa changamoto ya matumizi mabaya ya lugha na misamiati yake pamoja na kuongeza elimu na matumizi ya lugha.
- Kujenga kwa vyuo vingi kwa watu wa elimu ya huu ili kupunguza zaidi watu wanaoenda inchi za nje kufuata elimu zaidi.
- Kuanzishwa kwa tahasisi nyingine chini ya serikali ambalo jukum lake kubwa ni kuhakiksha kupanuka zaidi kwa kiswahili duniani
- Kuundwa kwa sheria kali itakayoilinda zaidi kiswahili hasa kwa wale waharibifu dhidi yake.
Kiswahili ni lugha bora na nzuri yenye historia kubwa barani Afrika hivyo waswahili tusikubali kukibomoa na kukiuwa kiswahili, Tazama jinsi wengine wanavyo pata taabu na ghalama kukifahamu kiswahili wakati sisi tunapambana kukihalibu na kukibomoa kabisa.

Upvote
3