Changia Yanga ni aibu kubwa sana

Changia Yanga ni aibu kubwa sana

Sasa hivi kuna kuna namba inatembea kwenye vyombo vya habari kuwa wanaomba kuchangiwa

Haya ni maajabu mengine kwa club Kongwe kutembeza bakuli la omba omba

Hivi club Kongwe Afrika mashariki na kati kwa miaka zaidi ya 80 hawana chochote wanachokifanya ili kuwaingizia kipato?

Yanga,Yanga,Yanga ni aibu kubwa sana

Omba omba Fc a.k.a Vyura Fc aibu tupu mitaani ,si bora vilabu vichanga vilivyopanda daraja wangeomba kuchangiwa lakini siyo Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Kama unauchungu kilicho kuuma kwa Nani yanga imeonyesha mpira mkubwa tofaut na mlivyo tegemea na ww ni mnyama huna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama waona aibu kuchangia pita mbali, acha wenye mapenzi ya kweli kwa timu yao wachange. Si unaona sasa timu inabadilika kila uchao, hadi wale wa upande wa pili wanaanza kuweweseka. Wenye moyo safi na timu yao tafadhari changia bila kuchoka, kitaeleweka tu, na watakoma mwaka huu.
Yaani mna-survive kwa mabakuli,inabidi mtafute vyanzo vya mapato...ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi kuna kuna namba inatembea kwenye vyombo vya habari kuwa wanaomba kuchangiwa

Haya ni maajabu mengine kwa club Kongwe kutembeza bakuli la omba omba

Hivi club Kongwe Afrika mashariki na kati kwa miaka zaidi ya 80 hawana chochote wanachokifanya ili kuwaingizia kipato?

Yanga,Yanga,Yanga ni aibu kubwa sana

Omba omba Fc a.k.a Vyura Fc aibu tupu mitaani ,si bora vilabu vichanga vilivyopanda daraja wangeomba kuchangiwa lakini siyo Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye yanga yao wanachangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara imepanda daraja msimu huu lakini haitembezi bakuli...
Yanga imezidiwa hata na mbao fc kweli?
Yanga ina wanachama wengi na watu wakubwa tu huko serikalini, hao hawaijui hali ya timu?!
Pengine hii isije ikawa ni mradi au mazingira ya utakatishaji wa fedha yanaandaliwa...
yaweza kuwa kweli
 
Wanayanga Changieni timu yenu kama viongozi wenu wamewahamasisha hivyo.
Tunataka kuona timu zikiimarika kimapato ili zifanye vizuri katika medali za kimataifa.
Mambo ya timu ya Simba waachieni Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saiv naogopa hata kufungua friji maana unaweza ukakutana na tangazo la Changia Yanga[emoji196][emoji196]
[emoji38][emoji38]🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mnataka nani aichangie Yanga?
Tangu enzi za mababu ukienda Kaunda kuangalia mazoezi, lazima bargash ipite ueke kitu kidogo.
Haya mambo hayajaanza leo.
 
Sasa hivi kuna kuna namba inatembea kwenye vyombo vya habari kuwa wanaomba kuchangiwa

Haya ni maajabu mengine kwa club Kongwe kutembeza bakuli la omba omba

Hivi club Kongwe Afrika mashariki na kati kwa miaka zaidi ya 80 hawana chochote wanachokifanya ili kuwaingizia kipato?

Yanga,Yanga,Yanga ni aibu kubwa sana

Omba omba Fc a.k.a Vyura Fc aibu tupu mitaani ,si bora vilabu vichanga vilivyopanda daraja wangeomba kuchangiwa lakini siyo Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuwa aibu wana Yanga kumchangia Haji Manara hela ya matibabu India,iwe aibu wao kujichangia?
 
Hamjielewi nyie,sisi wapenzi wa Yanga tunachanga mbona nyie mnalambwa midole na kanjibahai .kesho natume dola 5,000 za kimarekani.Tunataka ushindi tuu,umemuona Feisal? Makamboo jee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dola 5000 hukutuma mkuu mana nasikia wachezaji wenu bdo hawajalipwa mishahara ya miezi minne saizi, Bench la ufundi miezi mitano, kocha mmekosa hela ya kumlipia kibali cha kazi. Kibaya zaidi nasikia kuna wachezaji wenu muhimu wamegoma hata Rwanda kuna asilimia kubwa wasiende kwa ajili ya kushinikiza walipwe mishahara yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanatapa tapa kinyama Yanga .......ina miaka chungu nzima ila ni majanga tupu mpaka wanapitisha kapu
 
Tatizo siasa imeingia kwenye mpira, hawa si ndio waliotaka kununua nyumba za wanajangwani wote na kujenga Uwanja wa kisasa! wakatafuta na kampuni kabisa ikawacholea ramani ni vituko kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom