madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Sio Kama unauchungu kilicho kuuma kwa Nani yanga imeonyesha mpira mkubwa tofaut na mlivyo tegemea na ww ni mnyama huna loloteSasa hivi kuna kuna namba inatembea kwenye vyombo vya habari kuwa wanaomba kuchangiwa
Haya ni maajabu mengine kwa club Kongwe kutembeza bakuli la omba omba
Hivi club Kongwe Afrika mashariki na kati kwa miaka zaidi ya 80 hawana chochote wanachokifanya ili kuwaingizia kipato?
Yanga,Yanga,Yanga ni aibu kubwa sana
Omba omba Fc a.k.a Vyura Fc aibu tupu mitaani ,si bora vilabu vichanga vilivyopanda daraja wangeomba kuchangiwa lakini siyo Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app