Yaani timu za bongo zingekua na Kiongozi mmoja tu aliyefika form four na alikua siyo mtoro angejua kua duniani watu siku hizi hawaombi.
Unaoffer service au bidhaa kwa bei ya chini mtu akipendezwa anatoa hela yake.
Ndiyo maana ulaya kipofu anaweza kua anapiga gita ili umrushie ulichonacho lakini hapa mambo ni bakuli huku mnatazamana kama majogoo yanagombea tetea.
Sasa timu zote zinategemea mtuu mmoja atoe hela akijiengua dhahma ishaingia ndani