Changia Yanga ni aibu kubwa sana

Changia Yanga ni aibu kubwa sana

Mm shabik wa msimbaz lakin hili suala la washabik wa Yanga kuamua kuchangia timu nimeliona la busara kuliko kuendelea kulalamika huku tim inazid kuboronga, vyura onesheni nguvu ya buku zenu ili tuendelee kushindana kama zaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani timu za bongo zingekua na Kiongozi mmoja tu aliyefika form four na alikua siyo mtoro angejua kua duniani watu siku hizi hawaombi.

Unaoffer service au bidhaa kwa bei ya chini mtu akipendezwa anatoa hela yake.

Ndiyo maana ulaya kipofu anaweza kua anapiga gita ili umrushie ulichonacho lakini hapa mambo ni bakuli huku mnatazamana kama majogoo yanagombea tetea.

Sasa timu zote zinategemea mtuu mmoja atoe hela akijiengua dhahma ishaingia ndani
 
Kwani think tank Yahya Akilimali alivyosema wachezaji wote waondoke abaki Yondani hakutoa hela za usajili?
 
Back
Top Bottom