Changisha changisha ya Heche yafikisha Milion 5 kumuweka huru Mchungaji Saniel

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Feedback kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, ''Asanteni watanzania kwa kumchangia Mchungaji Saniel Sosoa ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya 5M kwa kudaiwa kuikashifu serikali ya CCM (cyber bullying and false information). Kwa umoja wetu tumeweza kumchangia 5.1M. Sasa Mchungaji Sosoa anaenda kulipiwa faini hiyo leo na kuachiwa huru. Hii ni ishara kwamba tunaweza kuushinda uovu, pale tunapobeba shida ya mmoja wetu kama shida yetu sote''.

View attachment 3433365
Soma pia: No Reform, No Election yapingwa kila kona, mchungaji ampiga marufuku Heche kuongelea mada hiyo msibani Arusha, Heche aufyata
Chanzo: Malisa gj
 
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
 
Umemiss matusi yao?
 
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Wananchi tabu wanazopewa na CCM wametambua kuzimaliza kwake ni kupambana kwa pamoja dhidi ya dhuluma za CCM.
 
Wasije wakamuua kama alivyouawa yule kijana wa Mbeya aliyechoma moto picha ya rais
 
Ww haki gan ya msingi unayozulimiwa ? Wazani hao chadema watakupa hio haki
Mkuu wanasiasa wote ni wale wale kikubwa tuko huru na tunafanya kazi Kwa amani.

Wananchi tabu wanazopewa na CCM wametambua kuzimaliza kwake ni kupambana kwa pamoja dhidi ya dhuluma za CCM.
 
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Sidhani kama walikufuata kukusumbua.Au kuna watu wamekufikishia malalamiko kwamba wamepata tabu kuchangia?
 
Hao ni CHADEMA wamechangiana. Si unaona wewe CCM hukuchangia..? Makasiriko ya nini sasa.
Mimi sio chadema Wala CCM, mimi ni mwananchi

Nachosema ni kua Kuna mda chadema wanafanya makosa kimaksudi ambayo serikali haiezi vumilia,
Tanzania sio failed state ukivunja sheria utakamtwa tu.

Mfano yule kijana alichoma picha ya rais mwingine kaandika matusi tena mitandaoni wakikamatwa tunaanza kusema serikali inawonea
 
Sidhani kama walikufuata kukusumbua.Au kuna watu wamekufikishia malalamiko kwamba wamepata tabu kuchangia?
Sio mpk kufuatwa naona wanatupa wananchi mizigo isiokua na tija.
Wote hapa ni watz na tunataka maendeleo
 
Back
Top Bottom