Changisha changisha ya Heche yafikisha Milion 5 kumuweka huru Mchungaji Saniel

Changisha changisha ya Heche yafikisha Milion 5 kumuweka huru Mchungaji Saniel

Sio mpk kufuatwa naona wanatupa wananchi mizigo isiokua na tija.
Wote hapa ni watz na tunataka maendeleo
Wewe haupo miongoni mwa waliochangia.Sasa huo mzigo uliojijumlisha kupewa,amekupa nani?Hayo mambo yao hayakuhusu.Wewe endelea kupewa "maendeleo" unayoyawazia.
 
Wewe haupo miongoni mwa waliochangia.Sasa huo mzigo uliojijumlisha kupewa,amekupa nani?Hayo mambo yao hayakuhusu.Wewe endelea kupewa "maendeleo" unayoyawazia.
Kwa hio sina haki ya kutoa maoni kwenye chama Cha demokrasia
 
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Serikali ya CCM Huwa inatafsiri ukosoaji ni matusi! Kwa sababu ni serikali ya malaika sio binadamu!
Swala la kuona wananchi wanapata Tabu ni mpaka watakapolalamika vinginevyo unachoandika ni dhahania tu!
Chama kikubwa kama CHADEMA kimezuikiwa Kwa amri haramu ya mahakama iliyotolewa na Jaji aliyepata kuwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi. Kwa hiyo hakina access na Mali zake ikiwemo fedha.

Aidha ushiriki wa wananchi ni kipimo Tosha, Cha Demokrasia ikiwemo kuona kama chama kina ushawishi na kukubalika na umma! Kwa kipimo hicho majibu unayo mkuu.
 
Kwa wehu wenye akil haezi fata chadema muda wote nyie ni kukinukisha tuh na kutaka huruma ya wananchi
Wehu Wako CCM,chama Kina;
Mazezeta,mafisadi,wahuni,Majizi
Wauaji,wasiojulikana,makahaba,waoga Na Chawa Zipo Huko.
We Hadi Leo Yanang'ang'ania Katiba
Ya Kikoloni,utadhani Nao Ni Wakoloni Weusi.
Ni Chama Cha Walala Hoi,wanachama
Wengi Wa Ccm Wanapenda Vitonga Na Ndio Maana Wamerundikana Huko Wakisubiri Buku 5 Na Mipama Ya Misaada,na Mafoneksi Ya Bure.
Majimbo Yenye Wafuasi Wengi Wa CCM Hata Maendeleo Ni Hakuna,unaweza Kuwahurumia.
 
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Yasiyokuhusu yasikuume,ukiona unaumia ujue yanakuhusu.
 
Mimi sio chadema Wala CCM, mimi ni mwananchi

Nachosema ni kua Kuna mda chadema wanafanya makosa kimaksudi ambayo serikali haiezi vumilia,
Tanzania sio failed state ukivunja sheria utakamtwa tu.

Mfano yule kijana alichoma picha ya rais mwingine kaandika matusi tena mitandaoni wakikamatwa tunaanza kusema serikali inawonea
Wewe unawaza mtu kuchoma picha, jee wale wanaotamka hadharani kuwa viongozi wa CHADEMA wapigwe au wauawe mbona hawakamatwi?

Sheria mbovu huwezi kusema watu wanafanya makusudi kuzivunja.
 
Back
Top Bottom