tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangiaFeedback kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, ''Asanteni watanzania kwa kumchangia Mchungaji Saniel Sosoa ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya 5M kwa kudaiwa kuikashifu serikali ya CCM (cyber bullying and false information). Kwa umoja wetu tumeweza kumchangia 5.1M. Sasa Mchungaji Sosoa anaenda kulipiwa faini hiyo leo na kuachiwa huru. Hii ni ishara kwamba tunaweza kuushinda uovu, pale tunapobeba shida ya mmoja wetu kama shida yetu sote''.
View attachment 3433365
Soma pia: No Reform, No Election yapingwa kila kona, mchungaji ampiga marufuku Heche kuongelea mada hiyo msibani Arusha, Heche aufyata
Chanzo: Malisa gj
Kwa wehu wenye akil haezi fata chadema muda wote nyie ni kukinukisha tuh na kutaka huruma ya wananchiChadema imebarikiwa Sana kiushawishi
Umemiss matusi yao?Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Hasa ukiwa hauna Elimu inayoeleweka hauwezi kuwaelewa chademaKwa wehu wenye akil haezi fata chadema muda wote nyie ni kukinukisha tuh na kutaka huruma ya wananchi
Wananchi tabu wanazopewa na CCM wametambua kuzimaliza kwake ni kupambana kwa pamoja dhidi ya dhuluma za CCM.Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Wasije wakamuua kama alivyouawa yule kijana wa Mbeya aliyechoma moto picha ya raisFeedback kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, ''Asanteni watanzania kwa kumchangia Mchungaji Saniel Sosoa ambaye amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya 5M kwa kudaiwa kuikashifu serikali ya CCM (cyber bullying and false information). Kwa umoja wetu tumeweza kumchangia 5.1M. Sasa Mchungaji Sosoa anaenda kulipiwa faini hiyo leo na kuachiwa huru. Hii ni ishara kwamba tunaweza kuushinda uovu, pale tunapobeba shida ya mmoja wetu kama shida yetu sote''.
View attachment 3433365
Soma pia: No Reform, No Election yapingwa kila kona, mchungaji ampiga marufuku Heche kuongelea mada hiyo msibani Arusha, Heche aufyata
Chanzo: Malisa gj
Hao ni CHADEMA wamechangiana. Si unaona wewe CCM hukuchangia..? Makasiriko ya nini sasa.Kwa wehu wenye akil haezi fata chadema muda wote nyie ni kukinukisha tuh na kutaka huruma ya wananchi
Hili nalo neno!Wasije wakamuua kama alivyouawa yule kijana wa Mbeya aliyechoma moto picha ya rais
Wananchi tabu wanazopewa na CCM wametambua kuzimaliza kwake ni kupambana kwa pamoja dhidi ya dhuluma za CCM.
Yule kijana wa Mbeya nadhani aliuawaHili nalo neno!
Sidhani kama walikufuata kukusumbua.Au kuna watu wamekufikishia malalamiko kwamba wamepata tabu kuchangia?Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Mimi sio chadema Wala CCM, mimi ni mwananchiHao ni CHADEMA wamechangiana. Si unaona wewe CCM hukuchangia..? Makasiriko ya nini sasa.
Na baada ya hapo huyo Mchungaji atatia akili.Chadema imebarikiwa Sana kiushawishi
Sio mpk kufuatwa naona wanatupa wananchi mizigo isiokua na tija.Sidhani kama walikufuata kukusumbua.Au kuna watu wamekufikishia malalamiko kwamba wamepata tabu kuchangia?
Na baada ya hapo huyo Mchungaji atatia akili.
Sasa unalalamikia hela za wanaume wenzio?Sio mpk kufuatwa naona wanatupa wananchi mizigo isiokua na tija.
Wote hapa ni watz na tunataka maendeleo