Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Wewe haupo miongoni mwa waliochangia.Sasa huo mzigo uliojijumlisha kupewa,amekupa nani?Hayo mambo yao hayakuhusu.Wewe endelea kupewa "maendeleo" unayoyawazia.Sio mpk kufuatwa naona wanatupa wananchi mizigo isiokua na tija.
Wote hapa ni watz na tunataka maendeleo
Chadema ni chama wanaume tuh au umetaka kunitukana ?Sasa unalalamikia hela za wanaume wenzio ?
Kwa hio sina haki ya kutoa maoni kwenye chama Cha demokrasiaWewe haupo miongoni mwa waliochangia.Sasa huo mzigo uliojijumlisha kupewa,amekupa nani?Hayo mambo yao hayakuhusu.Wewe endelea kupewa "maendeleo" unayoyawazia.
Serikali ya CCM Huwa inatafsiri ukosoaji ni matusi! Kwa sababu ni serikali ya malaika sio binadamu!Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Wehu Wako CCM,chama Kina;Kwa wehu wenye akil haezi fata chadema muda wote nyie ni kukinukisha tuh na kutaka huruma ya wananchi
Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Maoni huwa yana tofauti kubwa na malalamiko au shutuma.Kwa hio sina haki ya kutoa maoni kwenye chama Cha demokrasia
Na ninafikiri ndivyo itakavyokuwa!Wasije wakamuua kama alivyouawa yule kijana wa Mbeya aliyechoma moto picha ya rais
Yasiyokuhusu yasikuume,ukiona unaumia ujue yanakuhusu.Mtukane serikal alaf hela ya fain hamna tuanze kuwachangia
Hamuoni mnawapa wananchi tabu
Yaani milion 5 kweli ni yakuchangisha
Chama kikubwa kama chadema mnachanga kisa faini ya m5
Wewe unawaza mtu kuchoma picha, jee wale wanaotamka hadharani kuwa viongozi wa CHADEMA wapigwe au wauawe mbona hawakamatwi?Mimi sio chadema Wala CCM, mimi ni mwananchi
Nachosema ni kua Kuna mda chadema wanafanya makosa kimaksudi ambayo serikali haiezi vumilia,
Tanzania sio failed state ukivunja sheria utakamtwa tu.
Mfano yule kijana alichoma picha ya rais mwingine kaandika matusi tena mitandaoni wakikamatwa tunaanza kusema serikali inawonea