Changzhou: Watalii wafanya manunuzi kwenye mtaa wa kibiashara wakati wa usiku

Changzhou: Watalii wafanya manunuzi kwenye mtaa wa kibiashara wakati wa usiku

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi wakati wa usiku.

VCG111394426354.jpg

VCG111394426364.jpg
 
Ngoja kwanza tuhakikishe tunapata umeme wa uhakika bila mgao
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom