Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Umbali unapimiwa kutoka city cenre ,je kutoka city centre hadi chanika ni Km ngapi? Kutoka city centre hadi yale yale puna ni Km ngapi? Kuna city center hadi Bunju Darajani mpakani ni km ngapi?
Hii ya kutoka City Center hadi Bunju nayo ni kipande kirefu. Ni kama Kibaha au Chanika. Ila tunachukulia poa tu
 
Labda kama kuna foleni ndio utatumia muda wote huo. Au uwe mgeni kwa wenyeji wanajua ikiwa kama ni wikiendi hamana foleni G'mboto to Posta haizidi dakika 15
 
Nilichogundua pia ni kwamba wakazi wengi wa maeneo ya karibu na kati kati ya Jiji na pembeni kidogo mfano: Tandika, Keko, Ubungo, Manzese, Temeke, Magomeni etc. Bado hawana ufahamu juu ya Jiji la Dar es Salaam linavyotanuka kufanya watu wafike Chanika au Kibaha. Ndiyo maana hata kuujua umbali ni changamoto. Kama hujafika maeneo hayo unaweza ukadhani ni mbali sana kuliko uhalisia
 
Kaka Andrew Nyerere kumbe na wewe una kimbizaga mwenge (kutembea kwa mguu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…