Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Mwendo kasi ndio imesaidia kidogo unatoka gerezani mpaka mbezi Luis then ndio unaanza safari ya kibaha sasa😂 kama ulikua k/koo lakini.
Wapi mbona kawaida sana mimi kibaha naenda mara nyingi na mpaka sasa nipo kibaha huwa natoka kariakoo kwa napitia makumbusho nachukua gari la mbez halafu nafika mapema tu tena kiboss kabisa
 
Mkuu hii mada tukiiweka kwa muktadha kwamba tubishane mimi nitakuachia ushindi.

Lakini ukweli mtu anayetoka lets say Posta kupandisha Kibaha humfananishi na anayeenda Chanika,akikamata Mwendokasi mpaka Mbezi ni 40min Mbezi akikamata coaster mpaka Kibaha hazizidi 25 to 30 minutes anashuka Kibaha sasa muda huo anayeenda Chanika kama kasogea sana atakuwa yupo Kipawa,well kinachowabeba watu wa Morogoro road ni Mwendokasi but still Chanika hata huo Mwendokasi wa G/Mboto ukianza bado patakuwa mbali
Uhakika mkuu
 
Huyo mtu binafsi a akili sana, amefanya kitu ambacho tunaita ni 'future proof' maana huko ndiko tuendako.
Picha inajieleza
Angalia picha inajieleza kabisa
Screenshot_20240920-165304_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom