Zingiziwa unapita Chanika,kwa hiyo nauli inaweza kuongezeka kidogo.
Lakini hata ukienda Kariakoo mpaka Zingiziwa,Kibaha ni mbali zaidi
Kibaha ni 21 miles.
Can you believe it?
Siku moja nimekwenda kwa mguu mpaka Kibaha na kurudi kwa mguu.
Nilifika nyumbani saa tano usiku.
Chanika nimekwenda kwa mguu two or three or four times.
Lakini usually nilikuwa napenda sana kutembea kutoka Chanika mpaka Gongs.
Siku moja nimepishana na Makamu wa Rais,msafara wake pale Pugu anaelelea Kisarawe.
Nimeenda Zingiziwa siku moja kwa mguu kutoka Taliani.
Nikarudi kwa daladala.
Sasa konda ananiuliza"Mzee unakwenda wapi, Kariakoo?"
Wale abiria wanamwambia,"Huyu anashuka Taliani"