Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Nauli zingiziwa ni kias gani
Zingiziwa unapita Chanika,kwa hiyo nauli inaweza kuongezeka kidogo.
Lakini hata ukienda Kariakoo mpaka Zingiziwa,Kibaha ni mbali zaidi
Kibaha ni 21 miles.
Can you believe it?
Siku moja nimekwenda kwa mguu mpaka Kibaha na kurudi kwa mguu.
Nilifika nyumbani saa tano usiku.
Chanika nimekwenda kwa mguu two or three or four times.
Lakini usually nilikuwa napenda sana kutembea kutoka Chanika mpaka Gongs.
Siku moja nimepishana na Makamu wa Rais,Samia Suluhu,msafara wake pale Pugu anaelekea Kisarawe.
Nimeenda Zingiziwa siku moja kwa mguu kutoka Taliani.
Nikarudi kwa daladala.
Sasa konda ananiuliza"Mzee unakwenda wapi, Kariakoo?"
Wale abiria wanamwambia,"Huyu anashuka Taliani"
 
Changamoto ya Chanika ni uswazi ya baadaye. Sio mahali pazuri sana kwa makazi.

Kwanza sehemu kubwa ni tambarare kuna maeneo yamejengwa ukichunguza mvua zikinyesha mitaro haina pa kwenda.

Kwa mtu anayeona mbali Chanika sio pa kujenga nyumba yako ya makazi

Chanika ni Vingunguti na Manzese ya baadaye mark this comment
 
Zingiziwa unapita Chanika,kwa hiyo nauli inaweza kuongezeka kidogo.
Lakini hata ukienda Kariakoo mpaka Zingiziwa,Kibaha ni mbali zaidi
Kibaha ni 21 miles.
Can you believe it?
Siku moja nimekwenda kwa mguu mpaka Kibaha na kurudi kwa mguu.
Nilifika nyumbani saa tano usiku.
Chanika nimekwenda kwa mguu two or three or four times.
Lakini usually nilikuwa napenda sana kutembea kutoka Chanika mpaka Gongs.
Siku moja nimepishana na Makamu wa Rais,msafara wake pale Pugu anaelelea Kisarawe.

Mkuu unatembea kwa kupenda au ni ugumu wa maisha?
 
Miundombinu ya barabara ya Kibaha ni tofauti sana
 
Mi wanangu wanaoishi huko tukiwa tunaagana huwa nawatania oya jamaa msisahau kubeba mikate” basi huwa wanacheeka wasijue huwa namaanisha.

Ogopa sana safari na Eicher unakaa barabarani 2hrs huku inatembea maana kule ukitoka kipande cha Gongo la Mboto hakuna jam ni bus kutembea tu
 
Changamoto ya Chanika ni uswazi ya baadaye. Sio mahali pazuri sana kwa makazi.

Kwanza sehemu kubwa ni tambarare kuna maeneo yamejengwa ukichunguza mvua zikinyesha mitaro haina pa kwenda.

Kwa mtu anayeona mbali Chanika sio pa kujenga nyumba yako ya makazi

Chanika ni Vingunguti na Manzese ya baadaye mark this comment
Anzia kwa mbiki kwenda mbele nguvu kazi mpaka chanika mwisho kule mzee sio pa kujenga
 
Back
Top Bottom