Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

Umbali unapimwa kutokea City center mkuu. Maendeleo ni yenye center based (CBD)
Km
Si kweli

Ni umbali wa kawaida sana Kijiografia kutoka city center kwenda Chanika

Mimi huwa nashangaa sana wanaosema Chanika ilitakiwa iwe mkoa wa Pwani.

Kamkoa kenyewe ka Dar kadogo bado watu wanataka kukadogesha.


Ni kweli Mkuu.
 
Mi wanangu wanaoishi huko tukiwa tunaagana huwa nawatania oya jamaa msisahau kubeba mikate” basi huwa wanacheeka wasijue huwa namaanisha.

Ogopa sana safari na Eicher unakaa barabarani 2hrs huku inatembea maana kule ukitoka kipande cha Gongo la Mboto hakuna jam ni bus kutembea tu
Huwezi kufananisha na kibaha mzee, kuna haja watu washuke kuchimba dawa kama gari itatokea kariakoo utake usitake
 
Umbali unapimwa kutokea City center mkuu. Maendeleo ni yenye center based (CBD)
Km
Si kweli

Ni umbali wa kawaida sana Kijiografia kutoka city center kwenda Chanika

Mimi huwa nashangaa sana wanaosema Chanika ilitakiwa iwe mkoa wa Pwani.

Kamkoa kenyewe ka Dar kadogo bado watu wanataka kukadogesha.


Ni kweli Mkuu
 
Umesema vyema HAKUFAI

Kifupi wilaya ya Temeke na Ilala zimekaa kiswahili sana

Sio sehemu za kuishi
Hizo sehemu ukiwa mpenda utulivu na maendeleo huwezi kuishi.

Maana hata hao maskini wenye nyumba chumba kimoja na sebule ambazo hawajazimaliza wakimuona mwenzao mwenye nyumba size hiyo hiyo katoboa mpaka plaster wanamchawia,sasa uende wewe ukajenge mansion na fence juu hamtaelewana wanaweza hata wakakuuwa.
 
Hizo sehemu ukiwa mpenda utulivu na maendeleo huwezi kukaa

Maana hata hao maskini wenye nyumba chumba kimoja na sebule ambayo hawajaimaliza wakimuona mwenzao mwenye nyumba size hiyo hiyo katoboa mpaka plaster wanamchawia,sasa uende wewe ukajenge mansion na fence juu,hamtaelewana wanaweza hata wakakuuwa
SIkupingi mkuu uko sahihi

Ukitaka udumae akili na uwe na mindset ya kiswazi ishi hizo wilaya Temeke au Ilala
 
Back
Top Bottom