KERO Chanjo hatupewi lakini tunatozwa malipo mpakani Mtukula na Kasumulu, fedha zinakwenda wapi?

KERO Chanjo hatupewi lakini tunatozwa malipo mpakani Mtukula na Kasumulu, fedha zinakwenda wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu kubwa bhana inaenda Wizara ya Afya hasa upande wa boarder ya Mtukula na boarder ya KASUMULU ambapo wafanya kazi wa wizara hiyo hapo boarder wamekuwa na tabia ya kutulipisha hela ya vaccination Shilingi 10,000.

Lakini cha ajabu hawapigi hizo dawa kwenye magari, baada ya kutoka nchi jirani lakin wanatulipisha hela je hizo hela wanazo tulipisha zinaenda wapi?
 
Mnalipa kwa njia gani tuanzie hapo kwanza.?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom