Pyredbello
Member
- Feb 25, 2018
- 54
- 35
Daah [emoji23] hii nchi ngumu sanaChanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.
Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.
Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.
Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.
Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Lakini ni kundi muhimu sana katika jamii yetu-walitusaidia kutuondolea mwendazake kwa COVID kwa ushauri wao mwanana-Tuwatambue jaman 🤣 🤣Daah [emoji23] hii nchi ngumu sana
Utafiti wako umeufanyia wapi , na je umeangazia chanjo gani nyingine zaidi ya corona, zile chanjo za utotoni ni sehemu ya utafiti wako ama?Daah [emoji23] hii nchi ngumu sana
Nilichogundua Watu wengi wanaongea vitu kwa mihemko na kutokuwa na elimu juu ya kile wanachokiongeaUtafiti wako umeufanyia wapi , na je umeangazia chanjo gani nyingine zaidi ya corona, zile chanjo za utotoni ni sehemu ya utafiti wako ama?
Kwakuwa unayoelimu ya ubambikaji sio,hongeraNilichogundua Watu wengi wanaongea vitu kwa mihemko na kutokuwa na elimu juu ya kile wanachokiongea
Maswali yako yanaonesha wewe ni mjinga kabisa kuhusiana na masuala ya chanjo. Huelewi hata namna chanjo inavyofanya kazi.Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Usilazimoshe watu wakuamini wakati unaongea upuuzi. Kama una uhakika, weka uthibirltisho.Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.
Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.
Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.
Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.
Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Ushadungwa machanjo au umejificha uvunguni unavizia kuona nini kitatokea?Lakini ni kundi muhimu sana katika jamii yetu-walitusaidia kutuondolea mwendazake kwa COVID kwa ushauri wao mwanana-Tuwatambue jaman [emoji1787] [emoji1787]
We kadungwe michanjo hiyo hakuna anayekuzuia. Lakini wananchi ambao ni wengi zaidi wameyasusa hayo matakataka.Usilazimoshe watu wakuamini wakati unaongea upuuzi. Kama una uhakika, weka uthibirltisho.
Maswali yako yanaonesha wewe ni mjinga kabisa kuhusiana na masuala ya chanjo. Huelewi hata namna chanjo inavyofanya kazi.
BCG ina 44% efficacy peke yake. Kasome tenaAcha urongo ndugu,
Tulidungwa chanjo za TB na hatupati TB tena.
Surua, polia na pepopunda, zote hizo zina chanjo yake ambayo ni 100 perfect efficient. Ukidungwa hauugui tena.
Lakini haya matakataka ya covid sio chanjo ni usanii wenye malengo tofauti na tunayoambiwa
Kweli ujinga ni ghali. Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi. Yale yale ya kutotaka maprofesa na kuwataka akina Musukuma/Msukuma. Nchi imerudi 1950We kadungwe michanjo hiyo hakuna anayekuzuia. Lakini wananchi ambao ni wengi zaidi wameyasusa hayo matakataka.
Habari za kupiga deals na mabeberu zimefika mwisho. Mkatafute kazi zingine za kufanya.
Kama kweli ungekuwa una "akili za kisomi" ungetengeneza chanjo yako.Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi.
Halafu pia acha ushamba wa kujiita "msomi".Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi.
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Najua una chuki na hayati.Hona hoja we jamaa. JPM hayupo umepata ahueni gani ya kisiasa?Tumkumbuke kiongozi jizi la kura kwa kipi? Hizi chanjo ni hiyari, kama unataka kumkumbuka mkumbuke kimpango wako.