Najua una chuki na hayati.Hona hoja we jamaa. JPM hayupo umepata ahueni gani ya kisiasa?
Nasema hivi vibaraka wa mabeberu pigieni chapuo chanjo isiyo na ufanisi ili mpate bil 102. Shutup.Kwahiyo hoja ni huu uchafu ulioleta hapa?
Nasema hivi vibaraka wa mabeberu pigieni chapuo chanjo isiyo na ufanisi ili mpate bil 102. Shutup.
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Chukua ufuto wa mtoto wako, futa alafu uandike vizuri.mjifunze kiswahili maladhi ni nini?
Sikuelewi msimamo wako upo wapi? Chanzo inafaa? Kama inafaa mbona hata ukichanjwa unatakiwa uvae barakoa, social distance na kupiga nyungu?Hiyo chanjo mnatetemeka nayo nyie nyie mliokuwa mnajifanya kuipinga kipindi cha yule ibilisi.
Pumba tupu.Ushadungwa machanjo au umejificha uvunguni unavizia kuona nini kitatokea?
Hayo machanjo ni SUMU TUPU. We hushangai kwanini watu wameyasusa yamebaki kudododa huko stoo!
Yes, call me stupid and uneducated, but the people know what is good for them, and they have decided and WE ALL SEE IT.
Zile enzi za kuwadunga watu masumu huku mnapiga deals na mabeberu zimekwisha.
Udadali wa machanjo umebuma. FANYA KAZIIII
Umelazimishwa?Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Ficha upumbavu wakoChanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.
Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.
Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.
Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.
Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Tumkumbuke kwa LIPI?Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Dunia sasa inafanyiwa rehearsal,watu wanatest mitambo.Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Acha wajinga waliwe,wakija kushtuka wameshaoza.Acha urongo ndugu,
Tulidungwa chanjo za TB na hatupati TB tena.
Surua, polia na pepopunda, zote hizo zina chanjo yake ambayo ni 100 perfect efficient. Ukidungwa hauugui tena.
Lakini haya matakataka ya covid sio chanjo ni usanii wenye malengo tofauti na tunayoambiwa
Effectiveness ya chanjo haipatikani kwenye scientific journal, Ila kwenye mwili wa muhusika, ukichanjwa na haupati maradhi ni uhakikisho wa 100% effectivenessWewe umewahi kuona kwenye scientific journal ipi kwamba duniani kuna chanjo ni 100% effective?? where??
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
So what is purpose of vaccination?
Nini maana ya chanjo kutokuwa ni 100 percent? hizi tofauti za viwango vya asilimia kwenye chanjo zina maana gani?Duniani hakuna chanjo ambayo ni 100 percent
Hayo mambo yameshaelezwa kwa kurudiwa sana humu jukwaani, nyie anti vaxxers vilaza ni wasumbufu tu.Nini maana ya chanjo kutokuwa ni 100 percent? hizi tofauti za viwango vya asilimia kwenye chanjo zina maana gani?
''Maladhi'' ni nini? Kuandika kiswahili kunakushinda halafu unataka kujibebesha utaalam usioweza?Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Acha kudandia hoja za wanaume''Maladhi'' ni nini? Kuandika kiswahili kunakushinda halafu unataka kujibebesha utaalam usioweza?