#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

Nasema hivi vibaraka wa mabeberu pigieni chapuo chanjo isiyo na ufanisi ili mpate bil 102. Shutup.

Hiyo chanjo mnatetemeka nayo nyie nyie mliokuwa mnajifanya kuipinga kipindi cha yule ibilisi.
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.

mjifunze kiswahili maladhi ni nini?
 
Hiyo chanjo mnatetemeka nayo nyie nyie mliokuwa mnajifanya kuipinga kipindi cha yule ibilisi.
Sikuelewi msimamo wako upo wapi? Chanzo inafaa? Kama inafaa mbona hata ukichanjwa unatakiwa uvae barakoa, social distance na kupiga nyungu?
 
Ushadungwa machanjo au umejificha uvunguni unavizia kuona nini kitatokea?

Hayo machanjo ni SUMU TUPU. We hushangai kwanini watu wameyasusa yamebaki kudododa huko stoo!

Yes, call me stupid and uneducated, but the people know what is good for them, and they have decided and WE ALL SEE IT.

Zile enzi za kuwadunga watu masumu huku mnapiga deals na mabeberu zimekwisha.

Udadali wa machanjo umebuma. FANYA KAZIIII
Pumba tupu.
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Umelazimishwa?
 
Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.

Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.

Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.

Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.

Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Ficha upumbavu wako
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Tumkumbuke kwa LIPI?
 
Dunia sasa inafanyiwa rehearsal,watu wanatest mitambo.
 
Acha urongo ndugu,

Tulidungwa chanjo za TB na hatupati TB tena.

Surua, polia na pepopunda, zote hizo zina chanjo yake ambayo ni 100 perfect efficient. Ukidungwa hauugui tena.

Lakini haya matakataka ya covid sio chanjo ni usanii wenye malengo tofauti na tunayoambiwa
Acha wajinga waliwe,wakija kushtuka wameshaoza.
 
Wewe umewahi kuona kwenye scientific journal ipi kwamba duniani kuna chanjo ni 100% effective?? where??
Effectiveness ya chanjo haipatikani kwenye scientific journal, Ila kwenye mwili wa muhusika, ukichanjwa na haupati maradhi ni uhakikisho wa 100% effectiveness
 
Tumeembia na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.

Bull crap!! Huna unachojua hata hayo unayosema umeyaelewa vibaya sababu ya kuwa na kizungu katika level ya chini kabisa!!

Huvai barakoa halafu unasema “tuendelee kuvaa….”???!!! Wewe endelea kupuuza barakoa na hata chanjo. Ulianza na kusema hatuna corona nchini, ukahamia kusema chanjo zinabadilisha DNA (sasa una mashaka kama zinafanya kazi). Kumbe hujui kuwa kuchanjwa au kutochanjwa hakuna dalili ya nje na wote tukivaa, wafaidika wakubwa ni wale ambao hawajachanjwa??

Taarifa: Chanjo haizuii maambukizi (barakoa inazuia) na chanjo inazuia kuumwa na hata kufa (mambo ambayo barakoa haizuii).

Ondoa ujinga!!
 
Nini maana ya chanjo kutokuwa ni 100 percent? hizi tofauti za viwango vya asilimia kwenye chanjo zina maana gani?
Hayo mambo yameshaelezwa kwa kurudiwa sana humu jukwaani, nyie anti vaxxers vilaza ni wasumbufu tu.
 
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
''Maladhi'' ni nini? Kuandika kiswahili kunakushinda halafu unataka kujibebesha utaalam usioweza?
 
Back
Top Bottom