#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

Hayo mambo yameshaelezwa kwa kurudiwa sana humu jukwaani, nyie anti vaxxers vilaza ni wasumbufu tu.
We pumbavu, kama chanjo ya Polio ingekuwa na uwezo wa 70 % leo hii tungekuwa wapi?
 
1. Kwanza wataalam au wasomi gani wanaozungumziwa hapa??? Au ndio wale ambao kabla ya March 17 mwaka huu walikuwa wamekomaa kwamba chanjo sio salama, Ila Leo ni salama, au kuna chanjo mpya zinazozungumziwa tofauti na zile za kipindi kile?

2. Mwisho wa Siku haina haja ya kubishana sababu chanjo ni hiyari, anaetaka akapate chanjo ni haki yake, asietaka pia asiende sababu pia ni haki yake, For Now.

3. Sababu ukipata chanjo serikali haiwajibiki Kwa madhara utakayopata na hata usipopata pia chanjo serikali haiwajibiki Kwa litakalokupata. Kila mmoja anawajibika yeye mwenyewe in either way.

4. Mwisho kabisa "Za kuambiwa changanya na zako".
 
Sikuelewi msimamo wako upo wapi? Chanzo inafaa? Kama inafaa mbona hata ukichanjwa unatakiwa uvae barakoa, social distance na kupiga nyungu?

Msimamo wangu ni kuwa mkumbuke dhalimu ww kimpango wako.
 
Kuna ushahidi wa kisayansi wenye kuonesha barakoa inazuia maambukizi?
 
Hayo mambo yameshaelezwa kwa kurudiwa sana humu jukwaani, nyie anti vaxxers vilaza ni wasumbufu tu.
Nijibu au nioneshe huko palipojibiwa hicho nilichouliza.
 
Inaweza kuwa ni tatizo la akili muda wote kuhisi unawindwa tu. Siamini hata kama hiyo electromagnetism unaielewa inahitaji nini ili kuwepo!
Kutoelewa kwako jitahidi kubakiza kuwa ni tatizo lako binafsi.
Yaani makampuni kutoka sehemu tofauti Duniani yakae chini na kuumiza kichwa kwa gharama ili kukumaliza wewe ambaye wangekupata kirahisi tu hata kwenye chandarua ya Ngao!
Shindilia hoja yako with technical details, hamna atakayekubishia.
 
Ukianza dozi ya AIDS hutakiwi 'kushiriki' bila kinga kuepusha maambukizi mapya. Tunaweza kwenda na mtazamo huohuo kwa sababu hawa virus wanakuwa transformed at a tyme.
 
Effectiveness ya chanjo haipatikani kwenye scientific journal, Ila kwenye mwili wa muhusika, ukichanjwa na haupati maradhi ni uhakikisho wa 100% effectiveness
Mkuu kama umeshindwa kuwa na uelewa wa jambo dogo kabisa kama hilo,inamaanisha you know nothing in this regard. 🤣 🤣 🤣 Ndo ukweli wenyewe
 
Ukianza dozi ya AIDS hutakiwi 'kushiriki' bila kinga kuepusha maambukizi mapya. Tunaweza kwenda na mtazamo huohuo kwa sababu hawa virus wanakuwa transformed at a tyme.
Tena muulize, kwani askari wakivaa bullet proof vest vitani hawajifichi?!
 
Mimi nina akili timamu na nimekwishachanja. Kwenye suala la chanjo kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
 
Nakushauri Rudi kwanza kijijini kwenu wewe kwa huu mwandiko mjini hapakufai wasalimie kolomije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…