#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

Hayo mambo yameshaelezwa kwa kurudiwa sana humu jukwaani, nyie anti vaxxers vilaza ni wasumbufu tu.
We pumbavu, kama chanjo ya Polio ingekuwa na uwezo wa 70 % leo hii tungekuwa wapi?
 
1. Kwanza wataalam au wasomi gani wanaozungumziwa hapa??? Au ndio wale ambao kabla ya March 17 mwaka huu walikuwa wamekomaa kwamba chanjo sio salama, Ila Leo ni salama, au kuna chanjo mpya zinazozungumziwa tofauti na zile za kipindi kile?

2. Mwisho wa Siku haina haja ya kubishana sababu chanjo ni hiyari, anaetaka akapate chanjo ni haki yake, asietaka pia asiende sababu pia ni haki yake, For Now.

3. Sababu ukipata chanjo serikali haiwajibiki Kwa madhara utakayopata na hata usipopata pia chanjo serikali haiwajibiki Kwa litakalokupata. Kila mmoja anawajibika yeye mwenyewe in either way.

4. Mwisho kabisa "Za kuambiwa changanya na zako".
 
Sikuelewi msimamo wako upo wapi? Chanzo inafaa? Kama inafaa mbona hata ukichanjwa unatakiwa uvae barakoa, social distance na kupiga nyungu?

Msimamo wangu ni kuwa mkumbuke dhalimu ww kimpango wako.
 
Bull crap!! Huna unachojua hata hayo unayosema umeyaelewa vibaya sababu ya kuwa na kizungu katika level ya chini kabisa!!

Huvai barakoa halafu unasema “tuendelee kuvaa….”???!!! Wewe endelea kupuuza barakoa na hata chanjo. Ulianza na kusema hatuna corona nchini, ukahamia kusema chanjo zinabadilisha DNA (sasa una mashaka kama zinafanya kazi). Kumbe hujui kuwa kuchanjwa au kutochanjwa hakuna dalili ya nje na wote tukivaa, wafaidika wakubwa ni wale ambao hawajachanjwa??

Taarifa: Chanjo haizuii maambukizi (barakoa inazuia) na chanjo inazuia kuumwa na hata kufa (mambo ambayo barakoa haizuii).

Ondoa ujinga!!
Kuna ushahidi wa kisayansi wenye kuonesha barakoa inazuia maambukizi?
 
Hayo mambo yameshaelezwa kwa kurudiwa sana humu jukwaani, nyie anti vaxxers vilaza ni wasumbufu tu.
Nijibu au nioneshe huko palipojibiwa hicho nilichouliza.
 
Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.

Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.

Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.

Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.

Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Inaweza kuwa ni tatizo la akili muda wote kuhisi unawindwa tu. Siamini hata kama hiyo electromagnetism unaielewa inahitaji nini ili kuwepo!
Kutoelewa kwako jitahidi kubakiza kuwa ni tatizo lako binafsi.
Yaani makampuni kutoka sehemu tofauti Duniani yakae chini na kuumiza kichwa kwa gharama ili kukumaliza wewe ambaye wangekupata kirahisi tu hata kwenye chandarua ya Ngao!
Shindilia hoja yako with technical details, hamna atakayekubishia.
 
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Ukianza dozi ya AIDS hutakiwi 'kushiriki' bila kinga kuepusha maambukizi mapya. Tunaweza kwenda na mtazamo huohuo kwa sababu hawa virus wanakuwa transformed at a tyme.
 
Effectiveness ya chanjo haipatikani kwenye scientific journal, Ila kwenye mwili wa muhusika, ukichanjwa na haupati maradhi ni uhakikisho wa 100% effectiveness
Mkuu kama umeshindwa kuwa na uelewa wa jambo dogo kabisa kama hilo,inamaanisha you know nothing in this regard. 🤣 🤣 🤣 Ndo ukweli wenyewe
 
Ukianza dozi ya AIDS hutakiwi 'kushiriki' bila kinga kuepusha maambukizi mapya. Tunaweza kwenda na mtazamo huohuo kwa sababu hawa virus wanakuwa transformed at a tyme.
Tena muulize, kwani askari wakivaa bullet proof vest vitani hawajifichi?!
 
Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.

Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.

Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.

Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.

Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Mimi nina akili timamu na nimekwishachanja. Kwenye suala la chanjo kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
 
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Nakushauri Rudi kwanza kijijini kwenu wewe kwa huu mwandiko mjini hapakufai wasalimie kolomije
 
Back
Top Bottom