Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Hahahahaa...Ficha upumbavu wako
HakikaChanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.
Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.
Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.
Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.
Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Acha kupanik, taifa linamkumbuka JPM
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Tutamkumbuka kwa tafiti gan aliyoifanya??Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Kama ambavyo na wewe unatakiwa kukaa na kutulia kwa sababu hujadungwa.Kaa kwa kutulia sasa mbona unateseka wakati umeshadungwa machanjo?
Tuna elimu nacho!Nilichogundua Watu wengi wanaongea vitu kwa mihemko na kutokuwa na elimu juu ya kile wanachokiongea
Andika Kiswahili tu mwamba, maana kimalkia kimekukataa mapema sana!So what is purpose of vaccination?
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.
Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya maradhi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?
Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.
Mungu aliona taifa la Tanzania linaenda kuteketea kutokana na msimamo wa JPM kuhusu corona. Akaona amuondoe ili watu wapone. Asante sana Mungu.Rubbish from a rabid mind! Maladhi Ni Nini?
Ngoja lifilie kwa mbaliMungu aliona taifa la Tanzania linaenda kuteketea kutokana na msimamo wa JPM kuhusu corona. Akaona amuondoe ili watu wapone. Asante sana Mungu.
CCM nzima Hakuna anayeweza kuandika Kiingereza, broken tupu wanaandika na kuongeaA
Andika Kiswahili tu mwamba, maana kimalkia kimekukataa mapema sana!