#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

#COVID19 Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

Chanjo ya corona ni biashara yenye ujasusi ndani yake.

Ni chanjo ya mwendokasi ambayo lengo lake sio kukukinga na corona. Ina kazi tofauti ndani ya mwili.

Hapa madalali wa chanjo watakuja kufoka balaa, lakini huo ndio ukweli. Hizi sio chanjo, ni maji yenye chuma ndani yake.

Hizi ni electromagnetic vaccines zenye malengo ya kuwatawala watu kwa mifumo ya kompyuta. HIZI SIO CHANJO, NI MATAKATAKA.

Na kila mwenye akili timamu atazikataa na kuzipinga.
Hakika
 
Acha kupanik, taifa linamkumbuka JPM

Sio taifa, sema serikali ya majizi ya kura na wafuasi wake. Mimi simkumbuki, zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
 
COVID SCIENCE: Heart attack, stroke risks climb after COVID-19​

Heart attack, stroke risks rise in COVID-19 patients

COVID-19 increases patients' risks for heart attack and stroke, suggests a study from Sweden that compared 86,742 individuals infected with SARS-CoV-2 in 2020 and 348,481 people without the virus. In the week following a COVID-19 diagnosis, the risk of a first heart attack went up three- to eight-fold, and the risk of a first stroke due to a blood-vessel blockage rose three- to six-fold, the researchers found.
 
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya malazi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.

Hakuna chanjo yeyoye ambayo inakinga kwa 100% 😂😷
 
Tutamkumbuka kwa tafiti gan aliyoifanya??
 
[QUOTE="The Boss, post: 39858362, member: 18247
Duniani hakuna chanjo ambayo ni 100 percent
[/QUOTE]
Chanjo dhidi ya ndui ni 100% effective! Kizazi cha leo hakijawahi kuona ndui!! Chanjo dhidi ya corona ni usanii wa kimataifa wa karne ya 21! Covid 19 ni ugonjwa wa kawaida wa mafua!! Unatumika tu kufikia malengo ya mabeberu ya kupiga pesa!! Hakuna vifo vya corona per se! Watu wanakufa kwa magonjwa mengi inasakiziwa çorona!! Mjue Mungu anawaona! Ugonjwa gani hauonekani mpaka mtu aseme kuna corona na ghaffa unaonekana! Ukisema ugojwa haupo, kweli unakuwa haupo!! Jkisema ugonjwa upo kweli ghafla unakuwepo! Sijui nani katuloga!!
 
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.

Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka misongamano.

Kama hii chanjo ya Johson and Jonhson ni kinga dhidi ya maradhi. Kwa nini tuendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari baada ya kuchanja?

Taifa la Tanzania litamkumbuka hayati JPM. Maana hakupenda tuingizwe mkenge kisa tu misaada.

Msiishie kumkumbuka tu hamieni huko aliko kabisa mkamsaidie kuwatoa ushamba malaika.
 
Back
Top Bottom