OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Ni kwa muda sasa kumekuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona ambayo inawezekana kwa sababu za kisiasa, wameamua kusema kuwa ni hiyari. Ili watu wasione ubaya wa kuchoma. Lakini naomba ni waambie ikiwa ni ya hiyari, tutakula hasara
Hasara ya chanjo kuwa hiyari
Serikali iweke wazi kuwa chanjo ni lazima au tuagize kidogo ya kukaa viwanja vya ndege kwa ajili ya wasafiri ambao nchi wanazotaka kwenda zinahitaji waliochoma chanjo tu
Signed
OEDIPUS
Hasara ya chanjo kuwa hiyari
- Chanjo tunanunua na kuongezewa fedha kidogo za msaada, ikiwa hiyari watu hawatachoma, zitaexpire na tutaishia kuziteketeza kitu ambacho itakuwa tumepoteza hela ambazo tumezitumia kununulia. Nchi kadhaa wameshateketeza chanjo kwa ku-expire
- Lazima tuwe na vituo na watumishi. Mtumishi kukaa sehemu kusubiri mtu aje kwa hiyari siku nzima anaweza kuchoma watu wawili kitu ambacho ni hasara, kwa kuwa tunaingia gharama kuwaweka watumishi hao na costs nyingine
Serikali iweke wazi kuwa chanjo ni lazima au tuagize kidogo ya kukaa viwanja vya ndege kwa ajili ya wasafiri ambao nchi wanazotaka kwenda zinahitaji waliochoma chanjo tu
Signed
OEDIPUS