#COVID19 Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

#COVID19 Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Ugumba.png


Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au wakati wa kujifungua.

==========

COVID-19 vaccination is recommended for everyone 12 years of age and older, including people who are trying to get pregnant now or might become pregnant in the future, as well as their partners.

Professional medical organizations serving people of reproductive age, including adolescents, emphasize that there is no evidence that COVID-19 vaccination causes a loss of fertility.1–4 These organizations also recommend COVID-19 vaccination for people who may consider getting pregnant in the future.

Currently no evidence shows that any vaccines, including COVID-19 vaccines, cause male fertility problems. A recent small study of 45 healthy men who received an mRNA COVID-19 vaccine (i.e., Pfizer-BioNTech or Moderna) looked at sperm characteristics, like quantity and movement, before and after vaccination.12 Researchers found no significant changes in these sperm characteristics after vaccination.

Fever from illness has been associated with short-term decrease in sperm production in healthy men.13 Although fever can be a side effect of COVID-19 vaccination, there is no current evidence that fever after COVID-vaccination affects sperm production.

Source: CDC
 
Kuna scientific analysis ilifanyika ikionyesha levels za lipid nano-particles ambayo ni kibebeo cha chanjo ya korona (carrier molecule) ndani ya masaa 48 baada ya kuchanjwa.

Ilionyesha levels zilikuwa kwa kiwango cha juu kwenye ovaries na kwenye bone marrow......jambo ambalo linaweza kuashiria reproductive toxicities na pia suppression kwenye bone marrow au development of some blood cancers, leukemias or lymphomas..
 
Back
Top Bottom