Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,960 Reaction score 2,455 Jul 30, 2021 #41 Chanjo imekua balaa, saivi wanafunzi wakiona tuu cruiser nyeupe inakatiza shuleni wanakimbilia home fasta kusema kuwa wamekuja kuchanjwa, na wazazi wanaliamsha kwelikweli.
Chanjo imekua balaa, saivi wanafunzi wakiona tuu cruiser nyeupe inakatiza shuleni wanakimbilia home fasta kusema kuwa wamekuja kuchanjwa, na wazazi wanaliamsha kwelikweli.