Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
nasikia lazima wakupime ngoma kwanza au porojo?
Kama huna uhakika usitupotoshe ukaacha tukafa kizembe.Huu ugonjwa sio hatari kama mlivyoaminishwa....
Serikali ilikua inafanya majaribio ya chanjo na washaachana na kampeni zake wanasubiria majibu...
Kwa mtu mzima hiyo ni minor case...Kama huna uhakika usitupotoshe ukaacha tukafa kizembe.
Ocean road ,muhimbili kwa elf 20 tu weekdaysMe bado kiukweli. Hivi gharama zake zikoje nazinapatikana hsptl zote?
Ocean road ni cheap elfu kumi kipimo elfu 10 chanjo mkuuHospitali gani.tunaomba utupe gharama ya kipimo na chanjo kwa ujumla
Kumbeee nilikua siyajua hayaKwa mtu mzima hiyo ni minor case...View attachment 1196747
Kwaiyo tumefanyiwa majaribio mkuu?Huu ugonjwa sio hatari kama mlivyoaminishwa....
Serikali ilikua inafanya majaribio ya chanjo na washaachana na kampeni zake wanasubiria majibu...
Anakudanganya huyo.hali ni mbayaKumbeee nilikua siyajua haya
Ahsante mkuu
Nimebakiza sindano 1Kizuri kula na nduguyo
Wangapi mmepata chanjo?
Na kwa ambao hamjapata mnajua hili swala?
Ngoja kwanza. Inamahusiano na nguvu zetu mabaharia?
Anakudanganya huyo.hali ni mbaya
Maishakwahyo kama ukiwa nao utakula ARV maisha yako yote au ni kwa muda tu?
Ndio mkuuHivi wanakupa ARV hizi za UKIMWI au???
Katika nyuzi zako bora huu no. 1.Maisha
Unanionaga fala sana sioKatika nyuzi zake bora huu no. 1.
Ngoja wekeend niende maana baadae naweza kulia kilio cha Mbwa koko
Hapana sio hivyo ila nyuzi zako nyingi ni zile wamamaUnanionaga fala sana sio