Chanjo ya hepatitis b kwa wana mmu

Chanjo ya hepatitis b kwa wana mmu

Huu ugonjwa sio hatari kama mlivyoaminishwa....
Serikali ilikua inafanya majaribio ya chanjo na washaachana na kampeni zake wanasubiria majibu...
 
Huu ugonjwa sio hatari kama mlivyoaminishwa....
Serikali ilikua inafanya majaribio ya chanjo na washaachana na kampeni zake wanasubiria majibu...
Kama huna uhakika usitupotoshe ukaacha tukafa kizembe.
 
Kama huna uhakika usitupotoshe ukaacha tukafa kizembe.
Kwa mtu mzima hiyo ni minor case...
Screenshot_20190903-163338_Chrome.jpeg
 
kwahyo kama ukiwa nao utakula ARV maisha yako yote au ni kwa muda tu?
 
Naogopa sana maradhi,ee muumba tuepushe na hili balaa
 
Chanjo ya hep B ni muhimu sana kwa sasa...mana hepB inaua fasta kama ebola tu..kikubwa ni kinga..ambayo unachomwa chanjo dozi 3 kila dozi ni elfu 10 tu...wahi sasa..mana nayo inaenezwa kama vile ngoma tu....we are not safe any more.
 
Back
Top Bottom