KERO Chanjo ya Polio inatolewa bila utaratibu mzuri wala ridhaa ya Wazazi Dar es Salaam

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Docta H

New Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
1
Reaction score
3
Kumekuwa na malalamiko na hofu miongoni mwa baadhi ya wazazi kuhusu utoaji wa chanjo ya polio mwaka 2026, hasa katika eneo la Ilala, Dar es Salaam.

Baadhi ya watoa huduma wamekuwa wakifika majumbani na katika madrasa kuwapatia watoto chanjo hiyo, huku baadhi ya wazazi tukiwa hatujapata taarifa wala kutoa ridhaa kabla ya watoto kuchanjwa.

Wazazi pia tuna hofu kwamba huenda baadhi ya watoto wamepewa chanjo hiyo zaidi ya mara moja, ikiwemo mara mbili au tatu, jambo ambalo limezua maswali kuhusu utaratibu unaotumika katika kuwafuatilia watoto waliokwisha chanjwa.
 
Utaratibu ni kuwa LAZIMA upate chanjo maana hao virus watawa infect watu wengine hakuna cha hiari hapo
 
Kumekuwa na malalamiko na hofu miongoni mwa baadhi ya wazazi kuhusu utoaji wa chanjo ya polio mwaka 2026, hasa katika eneo la Ilala, Dar es Salaam.

Baadhi ya watoa huduma wamekuwa wakifika majumbani na katika madrasa kuwapatia watoto chanjo hiyo, huku baadhi ya wazazi tukiwa hatujapata taarifa wala kutoa ridhaa kabla ya watoto kuchanjwa.

Wazazi pia tuna hofu kwamba huenda baadhi ya watoto wamepewa chanjo hiyo zaidi ya mara moja, ikiwemo mara mbili au tatu, jambo ambalo limezua maswali kuhusu utaratibu unaotumika katika kuwafuatilia watoto waliokwisha chanjwa.
Waislamu ishu ya chanjo huwa lazima mzingua sip zamani sio jana nyie hata wazee wenu walikataa ya mabusha sasa hivi wamejaza mapumbu maji nenda Tanga,pwani, Zanzibar,mtwara,lindi na mikoa yenye Waislamu wengi usikie ujinga juu chanjo mnazoita za wazungu .

USSR
 
Uwezekano mkubwa hapa ni mnyororo wa taarifa kutokukamilika. Vituo au tasisi zinazojielewa kwa kawaida zinapopewa taarifa na Wizara au watumishi wa afya juu ya jambo husika, huchukua juku,u la kuwataarifu wazazi juu ya suala husika. Nyingi ya tasisi hizi hutoa ujumbe na kuhitaji mzazi au mlezi kusaini ikiwa ni ishara ya kukubali au kukataa mtoto kupewa chanjo. Wafanyakazi wa wizara ya afya hawawezi kuingia bila taarifa kwenye taasisi yoyote na kuanza kutoa chanjo.

Sasa hapa inawezekana;
1: Tasisi/shule haikutimiza wajibu/ kumpa mtoto taarifa ya kuomba ridhaa ampelekee mzazi.
2: Mtoto hakutimiza wajibu/ mtoto hakufikisha ujumbe kwa mzazi juu ya jambo husika.
3: Mzazi hakutimiza wajibu/mzazi hayuko karibu na mtoto ili kupata taarifa na mienendo ya shule.
 
😅😅😅😅
 
Yani hii kasumba ya kuogopa chanjo inachekesha sana wkt katoto kalidungwa toka kakiwa na wiki 6 sembuse hii
 
Unaambiwa Chanjo ndio chanzo cha Ushoga, jinsi Nchi ilivyo ya hovyo.
Mbona sie hatujawa wasagaji...😄😄😄tena tulidungwa haswaaa...kipondi hiko hata teknolojia haijawa kubwa...ktk kitu kinasimamiwa vzr na mashirika ya kimataifa ikiwemo umoja wa mataifa basi ni afya ya watoto
 
Haswaaa, tatizo wabongo ni upumbavu, 😂😂😂
 
Uwezekano mkubwa hapa ni mnyororo wa taarifa kutokukamilika. Vituo au tasisi zinazojielewa kwa kawaida zinapopewa taarifa na Wizara au watumishi wa afya juu ya jambo husika, huchukua juku,u la kuwataarifu wazazi juu ya suala husika. Nyingi ya tasisi hizi hutoa ujumbe na kuhitaji mzazi au mlezi kusaini ikiwa ni ishara ya kukubali au kukataa mtoto kupewa chanjo. Wafanyakazi wa wizara ya afya hawawezi kuingia bila taarifa kwenye taasisi yoyote na kuanza kutoa chanjo.

Sasa hapa inawezekana;
1: Tasisi/shule haikutimiza wajibu/ kumpa mtoto taarifa ya kuomba ridhaa ampelekee mzazi.
2: Mtoto hakutimiza wajibu/ mtoto hakufikisha ujumbe kwa mzazi juu ya jambo husika.
3: Mzazi hakutimiza wajibu/mzazi hayuko karibu na mtoto ili kupata taarifa na mienendo ya shule.
Mkuu upo sahihi kabisa ila jamii yetu na maswala ya chanjo ni vita aisee
 
Back
Top Bottom