chanjo ya polio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania KERO Chanjo ya Polio inatolewa bila utaratibu mzuri wala ridhaa ya Wazazi Dar es Salaam

    Kumekuwa na malalamiko na hofu miongoni mwa baadhi ya wazazi kuhusu utoaji wa chanjo ya polio mwaka 2026, hasa katika eneo la Ilala, Dar es Salaam. Baadhi ya watoa huduma wamekuwa wakifika majumbani na katika madrasa kuwapatia watoto chanjo hiyo, huku baadhi ya wazazi tukiwa hatujapata taarifa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki katika Kampeni ya Chanjo ya Polio - Misungwi (Mei 2026) hatujalipwa posho zetu

    Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kama mhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka 0...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kutoa Chanjo ya Polio kwenye Mikoa inayopakana na nchi jirani

    Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu. Ofisa Program Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Penford Joely amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kuhusu kampeni ya kuanza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ikungi: Zaidi ya watoto 97,000 kufikiwa na chanjo ya polio

    Mkuu wa wilaya ya ikungi Mhe. Jerry C. Muro amezindua zoezi la chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa hatari wa kupooza (POLIO) linalolenga kutoa chanjo kwa watoto 97, 575 katika wilaya ya Ikungi Mhe. Muro amesema hayo wakati akizindua zoezi la chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa hatari wa polio...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uambukizwaji, dalili na chanjo ya ugonjwa wa Polio

    Ugonjwa wa Polio husababishwa na virusi vya Polio, ambavyo huenezwa kwa njia ya kula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya ugonjwa. Ugonjwa huu unaweza kuwapata watu wa rika zote lakini watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ndiyo wanaoathirika zaidi. Hushambulia mishipa...
Back
Top Bottom