Chanjo yaua watoto morogoro

Chanjo yaua watoto morogoro

Was it a vaccine trial or normal immunization program (Expanded Programme on Immunization)?

Ni immunization program. imetangazwa kwa wiki nzima katika televisheni tofauti.
Kwa mkoa wa Dar es Salaam hili lilitokea wakati wa chanjo ya minyoo,watoto pia walizidiwa nguvu na dawa na kuzimia; wakasema tatizo ni watoto kutokula kabla ya chanjo.

Swali, iweje makosa hayo hayo yarudiwe na wizara hiyo hiyo, kwa chanjo hiyo hiyo? Hii itafanya watu waanze kukataa hizi program za chanjo na hivyo kuleta tatizo kubwa zaidi.

Naomba kuuliza mwalimu bila ruhusa ya mzazi ya maandishi anawezaje kuruhusu mtoto achanjwe? hili linanisumbua sana. Natambua walimu wanatusaidia sana katika kuwalea watoto wetu. Lakini hawana historia ya afya na matibabu ya watoto, sasa uamuzi huu unafikiwaje?

Na wizara nao wanachukulia kama wameshapewa ruhusa na wazazi kuchanja watoto... Hii si sawa kabisa.

Hivi ni lini Tz tutafanya vitu kama watu wenye akili timamu? mambo yanayohusu uhai wa mtu siyo ya kubuni wala kufanyia uzembe hata kidogo. Kila chanjo ina masharti yake kabla na baada, hivi hao wauguzi wanachukua muda kusoma na kuelewa hayo maelekezo au ndio hivyo kizungu not reachable? basi waombe tafsiri, halafu wawajulishe wazazi kinachotakiwa kabla mtoto hajapatiwa chanjo, ili mtoto aandaliwe na pia mzazi asign document ya kukubaliana na zoezi hilo!! Tuache uzembe wa kudeal na maisha ya watu kiholela namna hiyo au kwa vile Tz hakuna ku-sue watu au serikali? Inauma sana kuona mambo ya kipumbavu yanaendelea Bongo ktk karne hii ya 21. Nimeona mtu ameandika mambo ya uji, hivi bado hao watoto wananyweshwa uji shuleni? OMG ninavyochukia hicho kitu kinachoitwa uji hata sitampa mwanangu since I had enough in my childhood!!!
Na pia wazazi washirikishwe kikamilifu ktk mambo yanayohusu watoto wao, watoto sio wa serikali na wala sio wa shule, tuache ubosi usio na kichwa wala miguu!!!!
 
ITV wametangaza watoto 120 walianguka shuleni baada ya chanjo na kupelekwa hospitali.

Mama mkwe anayeishi Morogoro alitupigia simu kuwa watoto 8 wamefariki dunia hivyo kutuasa tusiwapeleke watoto wetu kwenye hiyo chanjo.

there is something seriously wrong somewhere.
 
nimefuatilia habari hii kwa masikitko makubwa, hii inaonyesha ni jinsi gani tusivyojali afya na utu. swali la kwanza kabisa,si watoto hupewa zile chanjo za kawaida,anapozaliwa na kila mwezi kwa miezi 3 mfululizo? inamaana hizi hazitoshi?

Ingefaa wizara husika ibebe lawama na watakaopatikana na makosa wwashtakiwe kwa mujibu wa sheria. KWeli wanafanya sample tests kwenye miili ya watoto wetu, hapo tunavuka mstari. No wonder serikali imecampaign weee kuwe bure bure bure kumbe wanatafuta sample specimen.
MWakyusa tell us, or unda tume tena.
 
Ni immunization program. imetangazwa kwa wiki nzima katika televisheni tofauti.
Kwa mkoa wa Dar es Salaam hili lilitokea wakati wa chanjo ya minyoo,watoto pia walizidiwa nguvu na dawa na kuzimia; wakasema tatizo ni watoto kutokula kabla ya chanjo.

Swali, iweje makosa hayo hayo yarudiwe na wizara hiyo hiyo, kwa chanjo hiyo hiyo? Hii itafanya watu waanze kukataa hizi program za chanjo na hivyo kuleta tatizo kubwa zaidi.

Naomba kuuliza mwalimu bila ruhusa ya mzazi ya maandishi anawezaje kuruhusu mtoto achanjwe? hili linanisumbua sana. Natambua walimu wanatusaidia sana katika kuwalea watoto wetu. Lakini hawana historia ya afya na matibabu ya watoto, sasa uamuzi huu unafikiwaje?

Na wizara nao wanachukulia kama wameshapewa ruhusa na wazazi kuchanja watoto... Hii si sawa kabisa.

ulaya na tanzania ni vitu viwili tofauti,kwetu hakunahakuna swala la fidia au watu kushitakiwa.bongo kila mtu ni mkubwa ofisini kwake.
mwakyusa ameunda tume na tume lakini ripoti ni sifuri.
 
au maybe huu ni mradi wa fulani fulani...... kama ule wa mashine feki za kupima CD 4.Unajua afrika magonjwa hayawezi kuisha kwa kuwa viwanda vya madawa vya hukoo western vinajua hili ndilo soko pekee linalolipa kwa hiyo wanatupa dawa ambazo zinakupa sideeffect zitakazokupelekea kununua dawa nyingine(from the same western companies). Can someone please spare us now?
 
Back
Top Bottom